Natafuta mbia(patner)wa biashara zangu

Jenseny

JF-Expert Member
Jan 26, 2011
1,743
1,731
Nina biashara mbili moja naifanya, hii ya pili bado nipo kwenye utafiti.

NINAHITAJI PATNER

Kwenye biashara ya pooltable ninalo moja kila siku linaniingizia 7000 (ndo hesabu nilompa kijana )ila hapo nilipoliweka yanahitajika mengine matatu ili yawe manne nipunguze ugomvi wa wateja kugombania nani acheze.

Usalama
Mimi ni mfanyakazi wa serikali na mahali lilipo ndo nyumbani kwetu though lipo stand ya magari.

Mtaji

Poooltable jipya kulinunua na kulisafirisha ni kama 1.6

Kipato

Kwa kila siku unaweza kuingiza 15000 kwa kila moja kama utasimamia mwenyewe au utamwajiri kijana.

Kwanini nahitaji mbia?

Kuna uhitaji mkubwa wa pools mpya

Mawasiliano 0658825141
 
je unataka kushare capital au mtu aje nalo jpya, vp kuhusu kodi ya pango?
 
je unataka kushare capital au mtu aje nalo jpya, vp kuhusu kodi ya pango?
vyovyote inavyowezekana ila nipate faida kwa kumwonesha fursa nkipta mtu akanipa la mkataba ingekuwa poa sana
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom