jamani nipo serious na biashara hii wajuzi wa mambo nipeni maarifaWasaalam,
Niende moja kwa moja kwenye dhumuni la uzi huu, naomba kujua mchanganuo wa biashara ya maji ya kunywa kwa kampuni za Azam, Sayona, Safi, Kilimanjaro n.k katika mambo yafatayo:-
NB: Mtaji wangu ni milioni 2 tu , Maji ya ujazo wa aina zote
- Bei za katoni za kuchukulia kwenye viwanda au kwa mawakala wa viwanda ivyo.
- Bei ya kuuzia kwa jumla mtaani au mahala ambapo tafungua biashara yangu iyo
- Mtaji kiasi gani (minimum) ambao taweza kufanikisha biashara yangu hii
- Kodi tra kwa biashara kama hii
- Taratibu zozote za kisheria ambazo natakiwa kufuata kufanikisha biashara hii, ili kuondoa mzozo na utawala wa kipindi hiki.
kama kuna mawakala wa kampuni husika nawakaribisha PM
Naomba kuwasilisha.
Naomba tuwasiliane kupitia hapa kiongozi 0742021843/0673235249Wasaalam,