Wapi naweza kutengeneza mifuko yenye jina la biashara yangu?

bigzii

Member
Nov 15, 2015
32
6
Heshima kwenu wana jamvi,
Nahitaji kutengeneza mifuko yenye jina la biashara yangu kwa ajili ya kuwekea bidhaa za wateja wanaponunua vitu dukani kwangu. Naomba mnisaidie mawasiliano au sehemu ambayo naweza kupata huduma hii.
Natanguliza shukrani.
 
Unahitaji kutengenezewa mifuko na ku printiwa? Au una mifuko tayari ila unataka Kui print? Unahitaji kiasi gani? Na mifuko ni ya aina gani? Plastic Au? Umepata! Nicheck PM,karibu sana mkuu.
 
Back
Top Bottom