Tahadhari: Veronica Anthony na Anthony Wilium Lwitiko; Matapeli wakubwa katika Forex

karanga mbichi

JF-Expert Member
Aug 8, 2014
268
222
Kumekuwa na makundi tofauti tofauti katika whatsapp yanayoibuka Ili kumvutia mtu awekeze pesa ili wajanja wazipige kwa kisingizio cha kutrade ili upewe mpaka 70%ya mtaji wako in 4days only.

Makundi hayo ni kama tajirika na forex,forex investors nk.

Vinara wa wizi huu ni Dada mmoja anaejulikana kwa jina la veronica Anthony. .na kijana mmoja ambae anajitambulisha kama mdogo wake veronica.Anthony wiliam lwitiko.huyu kwa uchunguzi ni mwanafunzi wa UDOM yupo pale natural mathematics and science. Mpaka sasa wameshawaliza watu zaidi ya tsh mil 300 na bado wanaendeleza utapeli huo.

Ndugu zangu kuweni makini na link mbalimbali zinazokuambia jiunge group fulani uanze na mtaji mdogo wa 20000 tu eti utajipatia mpaka 25ml kwa muda mfupi.uongo uliokithiri huo....

Nimeona tushirikishane maana hawa jamaa mpaka sasa ni wanted lkn bado wanaendeleza utapeli huo kila kona.
 
Back
Top Bottom