Mafanikio na uhuru wa fedha, Kufeli au Kufaulu. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mafanikio na uhuru wa fedha, Kufeli au Kufaulu.

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Elimubomba, Oct 18, 2017.

 1. E

  Elimubomba Member

  #1
  Oct 18, 2017
  Joined: Jul 27, 2017
  Messages: 70
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 15
  Maisha ya mafanikio na uhuru wa fedha ni jambo linalotafutwa na kila mmoja wetu, lakini ni wachache mno huwa wanafanikiwa. Hii ni kwa sababu kuna wanaotaka na wanaotamani mafanikio na uhuru wa fedha. Mara zote watu wanaotaka mafanikio na uhuru wa fedha hujituma kwelikweli ili kufikia uhuru huo wa kifedha wakati wanaotamani mara zote hutafuta njia rahisi na za mkato za kufanikiwa.

  MATOKEO
  Wanaotaka: Mafanikio hujitokeza
  Wanaotamani: Kufeli kukubwa kusiko na matarajio
  Take your side!
   
 2. Joseverest

  Joseverest Verified User

  #2
  Oct 18, 2017
  Joined: Sep 25, 2013
  Messages: 36,578
  Likes Received: 41,954
  Trophy Points: 280
  ELIMU BOMBA
   
 3. Prisoner of hope

  Prisoner of hope Member

  #3
  Oct 18, 2017
  Joined: Aug 9, 2017
  Messages: 99
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 25
  Fact...big up chief...!!
   
Loading...