Jinsi ya kusafirisha mzigo South Africa

Fuga Kisasa

Senior Member
Jan 16, 2016
165
91
Habari zenu wakuu,

Kuna mzigo nahitaji kusafirisha South Africa, nilikuwa naomba kuuliza kama kuna basi ambalo linafanya safari za Zimbabwe au nchi nyingine jirani na SA kisha mzigo ukifika Zimbabwe kampuni hiyo hiyo iwe na basi la kupeleka mzigo mpaka SA. Au kama kuna njia nyingine mbadala wazoefu mnaweza kunishauri

Msaada wenu tafadhali wakuu.

Nina option ya kusafirisha kwa DHL lakini ni gharama kubwa sana (Hii itakuwa option ya mwisho endapo nitakosa kabisa njia mbadala). cc: Isanga family

Asanteni sana
 
Ni mzigo wa aina gani mkuu? Parcel..au kitu gani?
 
Sema ni mzigo gani....kuna option ya kusafirisha na ndege (aircargo) kuna freighter zinaenda unaweza kupata kwa rate nzuri tu. Salama na uhakika.
 
Fuga kisasa ni mzigo gani truck zipo zinazoanzia hapo bongo mpaka Jozi sema huo mzigo hautaji vibali kupita boarder hizo na kuingia SA...sema aina ya mzigo kwa bus unaweza kupotea Wazimbabwe sasa hawapo makini sana sasa hivi
 
Pakia kwenya basi la taqwa au falcon mpaka Harare Zimbabwe. Tok pale unapakia kwenye basi za kwenda SA kwenye stand hiyo hiyo. Itakua safari ya siku tatu na nusu tu mpaka joburg, taqwa, falcon wana ofisi karikaoo, ubungo.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Back
Top Bottom