[emoji144][emoji404][emoji383]⚙[emoji144][emoji404]
KUFANIKIWA KATIKA MAISHA SIO ELIMU TU, BALI NA UJASIRI WA KUJIAMINI NA KUTHUBUTU!
[emoji116][emoji116][emoji116]
Ukichunguza katika jamii...
Katika jiji kama hili la DSM nashangaa sana kuona bado hatujaweza kuwa na mfumo wa kuwa na maduka yetu kufanyakazi hadi angalau saa 4 usiku. Inakuwaje main shoping area inayojulikana sana hata...
Op Msaada kulipiwa mafunzo ya TMT, yatayofanyika Dar es salaam tareh 23/10/2017-27/10/2017
Mm ni kijana wa kiume, umri wangu ni late 20s naish Dar es salaam, mm ni mhitimu chuo fulani nchin...
GOLD (XAUUSD)
Dominant Bias: Bearish
Gold is a choppy market, though movement has generally been bearish. Last month, price went upward to test the resistance level at 1305.78, before dropping...
Habari, wana JamiiForums,
Naomba wataalamu wanisaidie, mawazo, natakana kusuplly wi-fi, katika eneo lenyemsongamano mkubwa wa watu, hasa wanafunzi.
Lengo kuu ni biashara, mfumo nataka uwe hivi...
I don't know how to say b'se most of people. We struggle for poverty or financial problems b'se of ignorance and fear not the economy or government or other reason.
Poleni na majukumu ya hapa na pale wadau.
Leo nimewaletea fursa niliyoiona nataka tushirikishane ideas.
Iko wazi sasa hivi kuwa biashara ya mazao nchini imekua mbaya hii nikutokana na masoko ya...
Hatua ya kuamua kuingia katika biashara
Kuamua kuingia katika biashara ni majumuisho ya utayari wa kisaikolojia, kiakili, kiuchumi na kukabiliana na hatari au vitisho vyote vitakavyojitokeza...
Je kuna mtu yoyote anaeweza kunisaidia kuhusu kampun yoyote iliyoko tanzania inayojihusisha na utengenezaji na uuzaj wa mabus makubwa kwa hapa tanzania. Nnataka nifanye tathmin either kuimport au...
Nimepata shida ya ghafla biashara imeyumbaa. Si unajua msimuu wa Magufuli huu
So nina uhitaji wa Tsh laki moja au elfu 80 naomba mnikopeshe. Nipo kwenye kipindi cha mpitoo biash
ara imeyumba...
Imeripotiwa na gazeti la Mwananchi kuwa, bei za mafuta ya dizeli, petroli na mafuta ya taa zimepanda kuanzia Novemba Mosi, 2017.
Chanzo gazeti la Mwananchi: Bei za petroli, dizeli na mafuta ya...
The number of Tanzania’s centi-millionaires continues to grow substantially as economic growth in the country outstrips that of other countries in the East African region. Apart from the easily...
Kila ninapohamisha fedha toka bank kwa njia ya simu ni lazima niwe na salio la kawaida kwenye simu, tatizo ni pale ninaporuhusu kukatwa salio la kawaida ili muamala ukamilike salio linakatwa...
Wakuu,
Hivi kwa wale wenye ujuzi naomba kueleweshwa faida na hasara za kuregister biashara Brela kama partnership ama company. Ni vitu gani hasa inatakiwa kuviangalia (kodi? capital? aina ya...
Wasalaam wapendwa, husika na kichwa cha habari, naomba yeyote mwenye nia ya kunisaidia mkopo wa kiasi cha laki 3 nina shida ya dharura naomba anisaidie. Napatikana arusha.
Asante