Here’s the market outlook for the week:
EURUSD
Dominant bias: Neutral
The market is generally, neutral. It initially made bullish effort last week, reaching the resistance line at 1.2400...
Habari,kuna wazo LA Biashara kuhusu mambo ya manunuzi ya mtandaoni linahitaji muwekezaji ili likamilike.
Ndiyo kuna mawazo kama haya hapa nchini ila hili limejitofautisha kipekee...
As the above heading
I have a strong yielding idea. About internet innovation... The more you invest it, the more you get mult money.
The price is 1 million.
Private message me or call 0713774746
Nimeona hii video ya tangazo la Vodacom 4G lililotoka mwaka huu limefanana kila kitu na tangazo la Vodafone India 3G la mwaka 2014. Hii yote inatokana na kampuni kutumia creative directors wageni...
Habari waungwana wa JF.
Naomba kwa mwenye uwelewa na kuweza kubisaidia kwa nia safi anisaidie ili niweze kujikwamua.
Mimi ni mfanyabishara mdogo najishuhulisha na nguo za akina mama na watoto...
Habar wadau,
Napenda kupata ushauri juu ya ujenzi.je ni vitu gan na muhimu vya kuangalia ukitaka kujenga? Je kati ya tofali za kuchoma na tofali za BLOCK zipi ni bora zaidi? Nataka kujenga...
Ndugu wana JF kuna nchi kadhaa nimepata connection ya uhitaji wa korosho zilizobanguliwa tayari kwa matumizi ya binadamu
Lakini kikwazo ni kwamba sijajua utaratibu wa kuuza bidhaa hiyo ktk soko...
Habarini wakuu.
Usiruhusu orodha hii kukuogopesha. Hatua ya kwanza ya kuwa na mafanikio ni kuelewa ujuzi gani unao na ambao unakosa. Stadi hizi zote unaweza kujifunza, kwa hivyo ukitambua unakosa...
*TODAY TRAINING*
*-hellow traders/investors kwa sku ya leo nitakuja kuelezea kwa ufupi juu ya mada yetu ya jana kwa faida ya yule ambae alikua hajui*
*COIN MARKETCAP... (coin market...
*HOW TO MAKE MONEY WITH CRYPTOCURRENCY/WAYS TO MAKE MONEY WITH CRYPTO??*
-cryotocurency kuna pesa nzuri tu na unaweza kuacha kazi zako zote na ukadeal na crypto and ikaendesha maisha yako na...
Habari wana wajasiriamali natoa elimu jinsi ya kuwekeza na kutumia platform ambazo zinahusika na digital currency (cryto currency) example Bitcoin, Etherium, Bitcoin cash,Ripple, Verge,Cardano na...
Habari wakuu...
Nna wazo la kufanya biashara ya kuuza sabuni za maji za usafi/chooni na za kufulia(za maji pia) so natafuta wilaya ambayo haina kabisa hizi bidhaa ili niwekeze huko.
Am ready to...
Unakuta anajileta mpiga picha anapiga picha watu atakavyo yeye na kwenda kuzisafisha kisha kuziuza. Sio zote zinanunuliwa ma wahusika. Je hatuoni ni hatari picha yako kubaki na huyo mpiga picha...
Habar wana JF,
Naomba kufahamishwa taratibu za kuwa wakala wa bima.
---Kiwango cha chini cha mtaji(pesa) cha kuanzia,
---Taratibu za usajili wa biashara
---N.k
___MAKOSA KATIKA PESA__
[emoji383]MONEY MISTAKE 1
Usikope pesa ya riba ili uanzishe biashara. Usitegemee pesa ya mkopo kuianzishia biashara, upate faida kisha uirudishe pesa ya mkopo na riba...
Habari zenu wadau, hope mko mnaendelea vizuri ktk shughuli zenu za kiuchumi.
Mimi ninaomba kuuliza kwa anayefahamu ivi kwa banks zetu apa TZ, zipi zinatoa huduma nzuri ya kufanya payments online...
Siandiki kwa maslahi yoyote zaidi ya kuwa mdau wa usafiri hasa kanda ya ziwa na nimeshasafiri mara mbili na basi la Super Sami na kushuhudia jinsi huduma zake zilivyo mbovu
Ukienda kufanya...
Wadau najiuliza hii reli mpya ya kisasa inajengwa kwenye tuta lile la zamani au kuna tuta lake pembeni?
Sijaona picha yoyote ya ujenzi huo naomba aliyenayo atuwekee hapa.
Heshma kwenu wanajukwaa! Napenda kuwapongeza kwa mchango wenu mkubwa, hakika hapa ni supermarket ya mambo yote yahusuyo Biashara. Naomba kufahamishwa njia Za kufuata kusajili Micro Credit