hapana mkuu hapa ni kuwaelimisha tu research methodology, hata hivo vitu kama spss, stata na R lazima mtu usomeshwe bahati mbaya masters nyingi hazifundishi hizi software japokua ni muhimu kuzijua wakati wa kufanya research yakoMmmmh...sasa wanafunzi si wataishia kufanyiwa research zao