Mwenye uelewa mzuri juu ya online Forex business

Wi_Fi

JF-Expert Member
Nov 28, 2014
212
193
Nimesoma kwenye mitandao nikakutana na kitu Online Forex business. Nimejaribu kusoma lakini sijaelewa sana. Yaani kununua currency moja na kuiuza kwa currency nyingine online, Mwenye uelewa atujuze. Maana inaonekana ni biashara inayolipa sana.
 
Waliosema nisubiri kutapeliwa sikusubiri niliwafuata wakanitapeli kwa kunipa elimu juu ya forex. Thanks TMT for no reason. Najua kudownload blues now.
 
Back
Top Bottom