CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,789
- 8,914
JINA LA BIASHARA
Jina la biashara ni kitu muhimu sana, na kuna watu wanaamini kwamba mtu hujieleza kupitia jina lake, Na kuna vitabu vingi sana vimechapishwa na vinavyo elezea maana ya kila Jina.
Na katika biashara ni kitu muhimu sana kutumia jina katika biashara yako
SIFA ZA JINA ZURI LA BIASHARA
FUPI
Jina la biashara ni vizuri likawa fupi ili kufanya mteja awe rahisi kulitamka na kulikumbuka, ingawa hapa kuna exceptional fulani
Lazima liwe lahisi kutamkwa
Jina la biashara ni vizuri likawa rahisi kutamkwa na kila mtu hata ambaye hajasoma au hajaenda shule basi aweze kulitamka kwa urahisi kabisa
LINALO JIELEZA LENYEWE/LIELEZE UNACHO FANYA
Jina la biashara ni bora likawa lina jieleza lenyewe kabisa yaani haihitaji mtu kuanza kuuliza tena kwamba hii kampuni inafanya kazai gain,
Mfano: T. Book publishing- Hili linajieleza kabisa
LIWE LA KIPEKEE/UNIQUE
Kwa hii dunia ya ushindani mkubwa sana branding inachukua nafasi kubwa sana, so ni lazima jina lako la biashara liwe la kipekee katika secta uliyomo wewe
Vilevile kuna faida unayo weza kuipata kwa kuchagua jina linalo karibia na jina la strong bland name iliyoko sokoni
mfano: Blueband ni brand kubwa sana hapa East Africa so unaweza buni jina lako la Blueban,
- Maji ya kilimanajaro ni brand kubwa, wewe waweza anza na Kilimanjar Drinking woter
HII INAKUSAIDIA KUSHARE BRAND AWERENESS AMBAYO TIYALI IKO SOKONI KWA MUDA MREFU SANA.
Mfano mzuri ni simu za kichina.
JINA LINALOWEZA KUKUBUKWA KWA URAHISI SANA
LINALO ENDANA NA WAKATI
Jina la biashara yako ni vizuri likaendana na wakati tulionao kwa sasa
KUWA MAKINI KATIKA KUTIMIA JINA LAKO MWENYEWE
Kuna faida na hasara za kutumia jinalako kama jina la kampuni/biashara, madhara yake yanakuja pale unapo taka kuuza kampuni yako au kuongeza madirecta katika kampuni. Mfano kampuni yako inaitwa JUMA COMPANY LTD, Hapa ukitaka kuuza hii kampuni itakuwia vigumu sana na hata ukitaka kuongeza share golders,
HAPA NAPO KUNA EXCEPTIONAL,
2. AINA YA MAJINA YA BIASHARA YANAYO TUMIKA SANA
Personal Name
Kutumia jina lako biafisi kama jina la kampun I ni aina ya kwanza ya majina ya biashara,
MFANO: · McDonalds
· Bakheresa
Mkono and Company
Descriptive Business Name/Majina yanayo jieleza
Haya mara nyingi hufanya rahisi sana kwa wateja kuweza kujua hii kampuni inafanya shughuli gain,
MFANO: Internatinal Business Machine (IBM)
Kenya air way
Kilimanjaro Bus Service
COMBINE BUSINESS NAME
Haya ni majina yanayo jumuisha Descriptive anaPersonal Names Hii inasaidia kutumia Personal touch na hapo hapo unaeleza kampuni yako inafanya kazi gain.
MFANO: Mkono Advocate (Nimrod Mkono)
Ford Motor Company (Henry Ford)
Dell Computer (Michael Dell
BRANDABLE BUSINESS NAME
Jina lolote la kampuni linaweza kuwa Brand Name
Mfano: Google
NIKE
AMAZON
MICROSOFT
Mara nying Brandable Name yanakuwa na popula Fulani,
Mfano: Je google ingekuwa na umalufu huo kama ingeitwa serch engine company?
HAYA KWA KITALAMU HUITWA MAJINA YASIYO KUWA NA MAANA YOYOTE ILE(Nonsense)
NIKE- Haina maana yoyote ile
Ila kumbuka kwamba kujenga Brand Name inachukua muda mrefu sana na pesa za kutosha