Pesa: Kuandika Katiba ya NGO

Radio Producer

JF-Expert Member
Feb 4, 2011
724
295
Hallo JF,
Kama kuna mtu anaweza kuandika katiba ya NGO (Christian NGO) tuwasiliane kwa PM saivi kuna katiba inahitajika bei maelewano.
Asante.
 
Kuna jamaa humu huwa anaitwa Charles Mshauri mtafute huyo atakusaidia!
 
mimi nitakupa sample ambazo niliandikia NGO FULANI HIVI UEDIT, MAMBO SIKU HIZI NI KU EDIT TU HATA HAO WATALAAMU UNAO WATAFUTA USIDHANI WATAKUTENGENEZEA PYA, WATA EDIT HATA NDANI YA DAKIKA 20 WANAWEZA KUPATIA KATIBA.
 
Rahisi gharama..achana na mambo ya ku-edit. Fanya kazi ya Bwana kwa uaminifu, kwa kiwango kinachoridhisha, na kwa ubora unaotakiwa. Katiba sharti iandaliwe katika muktadha/ context ya kikundi ktk maana ya malengo, maono na dhima za Ngo husika. Wape professionals kama mimi wakutengenezee. Pia kuna by-laws za kikundi inabd muwe nazo.
 
shillingi ngapi mkuu?
 
shillingi ngapi mkuu?

Inategemea na kazi itakayohusika na mambo mengine.. Mmeshakamilisha taratibu za usajili wa hyo NGO yenu tayari?? Mna maelezo ya msingi kuhusiana na NGO yenu?? I mean kama profile flani hivi??
 
Wewe ni mwongo wala huna utaalam wowote kuhusu mambo ya katiba. Kama umeshindwa tu kujua kwamba kabla ya usajili NGO inatakiwa iwe na katiba utawezaje kumwandalia mtu katiba wewe? Taratibu za usajili mkuu zinaanzia kwenye kuandaa katiba, ipitishwe na wajumbe/wanachama lakini pia mkuu wa wilaya lazima ajiridhishe kama inakidhi malengo ya kuaznishwa kwake. Hii wanaogopa usije ukawa unataka kusajili NGO yenye kutetea mapenzi a jinsia moja (ha ha ha haaaaaa!). Kwa hiyo swali lako hilo la kwanza halikupaswa kuonekana hapo mkuu, angalau hilo la pili ni sawa!
 
Inategemea na kazi itakayohusika na mambo mengine.. Mmeshakamilisha taratibu za usajili wa hyo NGO yenu tayari?? Mna maelezo ya msingi kuhusiana na NGO yenu?? I mean kama profile flani hivi??
Watasajilije bila katiba?

We nae jipu
 
Back
Top Bottom