Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Ndg zangu Wanajamii, Nimekwama naomba ushauri, nimepata mkopo wa TZS milioni 5, nina wazo la biashara ya jumla ya kununua gunia za Mchele toka Mbeya - Mbalali na kuleta hapa Dar na kuuza kwa...
2 Reactions
34 Replies
19K Views
Nikiwa kama mteja na at the same time nimepitia kazi za marketing nyingi, nashangaa sana kwa kuwa sijakutana na wafanyabiashara wanaotumia hii njia ili kupata wateja, especially kwenye karne hii...
9 Reactions
19 Replies
5K Views
CRDB yakiri kuitaifisha Sekondari kufidia deni BENKI ya CRDB imekiri kuichukuwa Shule ya Sekondari ya Mkandawile kwa kufidia mkopo wake walioutoa kwa mmiliki wa shule hiyo. Ofisa uhusiano...
1 Reactions
25 Replies
4K Views
Kama heading inavyo sema ,katika harakati zangu za kusaka pesa nimepata wazo la kufanya hii biashara. Huku niliko maziwa yanapatikana kwa wingi sana kwa bei ya chini,mpango wangu ni kununua maziwa...
3 Reactions
7 Replies
3K Views
Wakuu naomba kujua pesa ya Zambia (Zambian kwacha) kwa mfano 100 ya Zambia ni sawa na Tsh ngapi kwa sasa ktk maduka ya kubadilishia pesa? Nikipata kwa walio mbeya itapendeza zaidi.
1 Reactions
18 Replies
7K Views
A few days ago nilipata hamu ya kula ndizi, nikatoka kidogo kwenda nje kununua, when i got there nikatoa mia tano (500) ambayo without me knowing ilikua imechanikakwa juu kidogo tu, nlipo mpa...
15 Reactions
38 Replies
8K Views
Fedha ni muhimu sana kwenye maisha yetu, kwa yale mambo yanayohusu fedha. Na kwa kuwa karibu kila kitu kwenye maisha yetu kinahusu fedha, basi fedha ina umuhimu mkubwa. Sitaki nianze kukuambia...
15 Reactions
25 Replies
9K Views
Wakuu amani ya bwana iwe nanyi, Kwanza kabisa hakuna mzazi hata mmoja ambaye anapenda mwanae au kijana wake asifanikiwe lakini kwa namna moja ama nyingine wazazi wamekuwa ni chanzo cha vijana na...
13 Reactions
36 Replies
5K Views
Habari ya Jumatatu Ni hivi, miaka kama 6 iliyopitia nilitengeneza network moja ya kijasiriamali na watu wa nje ya bara la Africa. Nimeshafanya nao shughuli nyingi ambazo baadhi zilitulipa na...
0 Reactions
0 Replies
816 Views
Tarehe 12/03/018 majira ya SAA 12:30 jioni hapa mtaani kwetu alionekana mama wa makamo ajulikanae kwa jina la mama Emmy akirukaruka na kwa furaha huku akikumbatia miti, kuibusu na kuikatia mauno...
2 Reactions
25 Replies
4K Views
Habari wakuu nimepata matatizo ya kifamilia wakuu nina shida sana wakuu nahitaji atakaeweza kunikopesha sh 50000 nitarudisha tarehe 20 ni uaminifu wangu 100% nitarudisha maana jasho la mtu...
4 Reactions
46 Replies
4K Views
Nina miaka sita toka niajiriwe kwenye kampuni flani, Mshahara wangu ni tsh 800000 kwa mwezi ambao ukikatwa na makato pamoja na marejesho ya mkopo napokea tsh 421000 kwa mwezi Familia yangu ni ya...
14 Reactions
124 Replies
20K Views
Habari za leo ndugu zangu, Mwenzenu naomba ushauri na njia ya kupata wafadhili mimi ni muandaaji wa filamu za hapa Kwetu kupitia mawazo ya watu niliamua kusajili kampuni kwa lengo la kufanya...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wadau wote wa JF ni matumaini yangu mko salama Kwa uwezo wake Mwenyezi mungu, heshima kwenu wote. Naomba kuwasilisha swala hili mahali hapa kwani nafahamu humu Kuna watu walio yapitia...
2 Reactions
31 Replies
3K Views
Here’s the market outlook for the week: EURUSD Dominant bias: Neutral This pair has consolidated so far this month. Price has been ranging between the support line at 1.2250 and the...
0 Reactions
3 Replies
689 Views
Mshauri mdau huyu aliyeamua kujiajiri , alipata fedha kidogo akapanga fremu na fremu haikua kwenye hali nzuri akafanya marekebisho kidogo(hela kidogo ikatumika), akanunua na samani chache kama...
1 Reactions
23 Replies
2K Views
Zanzibar ni watumiaji wazuri Wa sukari pengine kuliko bara, hivi Zanzibar wanazalisha sukari nyingi sana wasioweza kuinywa wenyewe ikaisha kiasi cha kulilia iletwe bara kuuzwa? Au kuna sababu...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari zenu wadau, nilikua nauliza km kuna mtu humu ndani anafahamu upatikanaji wa machine za kusaga na kukobolea nafaka, tafadhali naomba anijuze.. Alafu Kama wewe ni [Mbongo] Mtanzania na...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Assalam alaykum viongozi. Hope mko vizuri na mnaendelea vizuri na shughuli za ujenzi wa taifa. Hizi kelele za kuelekea uchumi wa viwanda, tumezielewa vizuri tu, sasa kinachonipa maswali ni hatua...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom