Nitatoa zawadi kwa yoyote atakaenipa njia nzuri ya kupunguza ritani ya kodi ya ongezeko la thamani

Tallyi

Senior Member
Jun 6, 2017
156
139
Kama una njia mwanana ya kupunguza nilichokitaja hapo juu unawepa pata promotion nzuri ya kazi eneo mwanana..

Nipe mkakati mzuri wa jinsi ya kufanya hivyo.nikiona unafaa kwa sbb nmekua na shughuli nyingi zaidi hadi nashindwa kuhimili hii idara katika kampuni ya familia nikiwa kama kiongozi wa hii kampuni bas inaweza kuwa nafasi nzuri sana kwako..

Tunalipa approximately 4mil kwa mwezi kitu ambacho usipokua makini mapato yote utaweza kuwa unamfanyia kazi bwana mkubwa mwenye mamlaka yake ya mapato..

Nipe njia bora inayoweza kunifikisha atleast nikalipa laki 6 ntakuokoa na ww..

Be the best get a promotion.

Regards.
 
Kama unakusanya VAT toka kwa wateja kwa nini usizilipe TRA? Ww huitakii nchi mema, kwa maneno mengine unataka kula pesa ya serikali, anbayo itakufunga dogoooo.
 
Pesa ambazo watu wakilipa kodi wao wanaenda kununua wapinzani badala ya kuekeza kwenye maendeleo
 
Kama una njia mwanana ya kupunguza nilichokitaja hapo juu unawepa pata promotion nzuri ya kazi eneo mwanana..

Nipe mkakati mzuri wa jinsi ya kufanya hivyo.nikiona unafaa kwa sbb nmekua na shughuli nyingi zaidi hadi nashindwa kuhimili hii idara katika kampuni ya familia nikiwa kama kiongozi wa hii kampuni bas inaweza kuwa nafasi nzuri sana kwako..

Tunalipa approximately 4mil kwa mwezi kitu ambacho usipokua makini mapato yote utaweza kuwa unamfanyia kazi bwana mkubwa mwenye mamlaka yake ya mapato..

Nipe njia bora inayoweza kunifikisha atleast nikalipa laki 6 ntakuokoa na ww..

Be the best get a promotion.

Regards.
Value added tax ni rahisi sana nikuongeza matumizi njoo inbox ndugu ni pm
 
Kama una njia mwanana ya kupunguza nilichokitaja hapo juu unawepa pata promotion nzuri ya kazi eneo mwanana..

Nipe mkakati mzuri wa jinsi ya kufanya hivyo.nikiona unafaa kwa sbb nmekua na shughuli nyingi zaidi hadi nashindwa kuhimili hii idara katika kampuni ya familia nikiwa kama kiongozi wa hii kampuni bas inaweza kuwa nafasi nzuri sana kwako..

Tunalipa approximately 4mil kwa mwezi kitu ambacho usipokua makini mapato yote utaweza kuwa unamfanyia kazi bwana mkubwa mwenye mamlaka yake ya mapato..

Nipe njia bora inayoweza kunifikisha atleast nikalipa laki 6 ntakuokoa na ww..

Be the best get a promotion.

Regards.
Kama hujatumwa na wasiojulikana utapata majibu sahihi ila sio hivi public. Badilisha strategy ya kuopperate kwenye uchunguzi wako mkuu
 
Kama unakusanya VAT toka kwa wateja kwa nini usizilipe TRA? Ww huitakii nchi mema, kwa maneno mengine unataka kula pesa ya serikali, anbayo itakufunga dogoooo.
We huelewi kitu kuhusu haya mambo..pigika na maisha yako ya vijiweni.unadhani kuna mfanyabiashara anaefurahia kulipa kodi..tena hasa hizi kodi zetu za kishenzi za kunyonyana na zinatumika kijinga pia..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom