Inashangaza sana kiukweli.katika pita,pita yangu mitaani nikiwa katika harakati zangu za kujikwamua kiuchumi.nilifika katika mgahawa na kupata chakula cha mchana.pembeni yangu kulikua na vijana...
DO YOU WANT TO BE ENTERTAINED OR RICH?…IT’S YOUR CHOICE
I came across this excellent chart the other day. It shows those times in history when the S&P 500 doubled over a ten year period and the...
Wakuu mwenye uelewa na biashara ya kutengenez bati, "roll forming " naomba tupeane uzoefu.
1. Roll forming machine bei gani
2. Inatengeneza aina ngapi za bati glazed etc
3.uagizaji wa coils na...
Kama kichwa kinavyosema wadau,nimedhamiria kufanya biashara ya kutoa mazao ya samaki wa baharini na kupeleka huko,na week ijayo inanibidi niende kufanya utafiti wa soko huko ila shida yangu ni...
Kama kichwa kilivyo hapo juu nina shamba langu heka 50 lina document zote naitaji mkopo wa kilimo Je ni benki gani ina weza nipa mkopo haraka na limit ni kiasi gani vipi kuhusu riba nk
Hata ukimpa benefit of the doubt kwamba ni kosa la kimahesabu la kibinadamu na hata tukisema ni karani wake alikosea ku type, bado Assad anaamini kwamba siku deni la taifa likikua likafika zaidi...
Mimi ni mjasiliamali huwa nauza pop corn shuleni.Inanilipa vizuri.Nataka kubuni biashara nyingine zaidi na wateja wangu wakubwa ni wanafunzi.Unadhani ni biashara gani nikifanya itanipa pesa...
Nitangulie kwa kusema mie ni mfanyabiasha ninayefanya biashara kisheria.
Masikitiko yangu ni kuhusu suala la kuruhusu wanaoitwa machinga kuziba biashara zetu, ivi sie haki yetu iko wapi?
Mie...
Habari zenu ndugu.
Hivi karibuni nimegundua nina uwezo (sijui tuseme kipaji) cha kuandika makala. Ninaandika makala za aina mbalimbali, zikiwemo za elimu, uongozi bora, biashara na hata michezo...
Naomba msaada wa kitaalamu. Mm ni Mkulima wa Korosho huku Mtwara. Nimeuza shamba langu la Korosho kwa milioni moja na nusu (1,500,000) lengo langu ni kujenga kiwanda cha kubangua korosho ili...
Sabuni ya jamaa inayotengenezwa nchini Kenya imekuwa ikifanya vizuri sana kwenye soko hapa Tanzania kwa miaka mingi sasa, kiasi ambacho imezifunika sabuni nyingi sana za kufulia hapa nchini...
Kupata mkopo tawi la Pride hapa Arusha imekuwa ngumu sana.Ukiomba mkopo wanasema hawana pesa,wako ktk mchakato wa kulipa kodi.Kuna watu wamejitoa baada ya kuona hawapewi mikopo lakini kila wakidai...
Habari za Kazi wana JF,
Kama somo linavyojieleza nimekaa na kutafakari sana juu ya uchumi wa Nchi yetu Tanzania. Baada ya kupata Uhuru Mwl Nyerere alijitahidi sana kupambana kuiweka Nchi yetu...
Kuna aina mbili za Incubator
mashine;
(i)Zinazotumia mfumo wa Fan ndani ili kusambaza joto
(ii)Hizi nyingine zinatumia mfumo wa joto tu bila fan
Hizi za kutumia fan ndani ya mashine ndio nzuri...
Ndg zangu Wanajamii,
Nimekwama naomba ushauri, nimepata mkopo wa TZS milioni 5, nina wazo la biashara ya jumla ya kununua gunia za Mchele toka Mbeya - Mbalali na kuleta hapa Dar na kuuza kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.