Naombeni kufahamu namna watengenezaji wa sabuni wanavyopiga faida

goodfool

JF-Expert Member
Oct 11, 2016
1,664
993
Hamjambo wakuu,


Napenda kufahamu namna watengenezaji wa sabuni majumbani wanavyopata

faida, hasa sabuni za kipande/miche .

Je , gharama za maligjafi zikoje? Mfano soda ash nk


Je, time consuming ya kuzalisha sabuni ikoje.

Yani inachukua muda gani ziwe tayari kwa soko au matumizi (maana kuna blogu nliona eti unaziweka siku 40 zikauke!!!!)

Soko lake vipi?

Je ipi inafaida zaidi na rahisi ku manufacture kati ya Sabuni ya unga na vipande.

I would like to know how does it profit.

Asanteni.
 
Back
Top Bottom