*NUKUU*
"Serikali ya awamu ya 5 imefanya uamuzi mgumu wa kulifufua shirika letu la ndege kwa kuamua kununua ndege mpya za kisasa kabisa ambazo zipo kwenye Dunia ya sasa." - Dkt. Hassan Abbas...
Habarini wanaJF...
Mimi ni mwalimu wa Maths ambaye bado sijaajiriwa na shule yoyote,
Ninawazo lakuanzisha tuition katika mtaa ninaoishi, hivyo naomba ushauri wako ni vitu gani nizingatie hasa ili...
Habari wadau, nimekutana na changamito na hawa TRA sehemu ya biashara yangu kuna stika nimebandika katika vioo vya frame yangu ambayo ipo ndani ya shopping mall hapa jijini. Sasa wakapima na...
Mimi ni mteja katika mtandao wa tigo na kwa uelewa wangu naamini yanatakiwa kulipia VAT ambayo ni 18% kautoka kwenye ada zinazo katwa kutoka kwa wateja, lakini kuna baadhi ya ada kama za kulipia...
Source: Kizazi cha kuelimisha
Aina Ya Wateja Ambao Unatakiwa Kuwaepuka Mapema Kwenye Biashara Yako.
Katika biashara ni kawaida kukutana na wateja wa aina tofauti tofauti na wateja wote kama...
Habari ndugu zangu,
Natafuta mtu wa kushirikiana nae katika biashara ambayo tutaamua kwa pamoja kama washirika kufanya, binafsi nina mawazo ya biashara kadhaa na nina mtaji wa million 2 ila...
Wataalamu na wawezeshaji wa kituo cha kimataifa cha utawala bora cha Basel cha Uswisi wapo nchini kutoa mafunzo kwa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru).
Kupitia kituo cha...
Wakuu, nataka kuwa dalali wa nyumba, vyumba, viwanja, frame za biashara, apartments nk. Je nifanyeje ili niwe maarufu?
Nifanye ili wenye mali zao wawe wananipa mtonyo ili nipeleke wateja?
Serikali ya awamu tano kupitia kauli mbiu yake ya "Hapa kazi tu" inaendelea ya ujenzi wa miundombinu ikiwemo ya reli, viwanja vya ndege na maji.
Hii ni taarifa fupi ya Shirika la Reli Tanzania...
Wakuu,
Kama ambavyo tunaona matangazo yanayotolewa na mabenki kushusha riba za mikopo kutokana na maelekezo ya BOT ili kuleta nafuu kwa wakopaji.
Hili la riba imekuwa ni juhudi binafsi za Mh...
Wakuu habari za majukumu ya kutwa mzima.
Mimi ni kijana wa kiume (31) nina ham ya kutaka kufanya biashara lakini kila ninae muamini na kumuachia mtaji anakula mazima yaani mpaka nashindwa...
Wakuu,
Ni hayo tuu, nahitaji elimu hapa maana ninachojua mimi kidogo ni kodi ya mapato inakatwa kwenye faida sasa hata biashara sijaanza ndo nafanya paperworks ila nahitajika kulipa hilo kadirio...
Baada ya kupata ajali na gari yangu ndogo kama wiki 3 zilizopita niliamua kui-test ile theory yangu ya placebo effect.
Wakati nimepanda daladala ya Geza-ferry huku nikiwa nimesimama katika mbanano...
Kuna usemi mpya unasema “Heri walimkavu kuliko walimwengu.” Penye walimwengu pana pana mengi. Nasema hivi kwa nini. Kiuhalisia tuliletewa hii fursa na kijana mwenzetu ambaye naweza sema si...
Habari wadau..
Naona thread nyingi za forex za kuisifia na za kuipinga..
Dogo amekuja kutukomboa na elimu ya forex.. japo wengine wanasema ina ujanja ujanja ndani yake..
Napendekeza kuwe na...
Kama vijana tupo serious kuna mambo kadhaa tunaweza kufanya;
1. Kufanya mobilization.Tuanzishe forum tukutane tuunde kundi tujisajili tukachukue mikopo halmashauri.Maneno bila vitendo ni sawa na...
Habari wanajf,
Mimi ni kijana kwa umri 27,
Leo ninalo wazo juu ya vijana kujikwamua na kuushinda umasikini. Kwanza niseme yafuatayo;
Kijana kwa asili yake hupata pesa ndogo ndogo ambazo huwa...
Tunaendelea kujikakamua . Tutatoboa tu.
Kuna mtindo ambao ulianza kama masihara huko nyuma lakini sasa umepamba moto sana na unazidi kuota mizizi mno siku zinavyozidi kusogea.
Kukopeshana hela...
Asilimia kubwa ya watu wamefanikiwa kupitia biashara, ni asilimia chache sana wana mafanikio kupitia ajira lakini wengi wenye majumba mazuri, magari na mali nyingine wamezipata kupitia biashara...