Wajasiriamali na wafanyabiashara Mjasiriamali Desk


Joined
Apr 8, 2017
Messages
74
Likes
21
Points
15

keen salva

Member
Joined Apr 8, 2017
74 21 15
Habari wana jamii forums,

Napenda kuwataarifu kuwa kwa wale wanaotembelea jukwaa la Mjasiriamali Desk, wanachama/wasio wanachama sasa wanaweza kutembelea jukwa hilo kwa urahisi sana kupitia simu za mkononi, japo tupo kwenye hatua za mwisho kuwezesha rasmi jukwaa hili la masiriamali Desk kupatikana kupitia mobile applicaion tumeonelea ni vyema tukarahisisha kwanza kwa sasa upatikanaji na utumiaji wake kupitia Tapatalk yenye list ya forums nyingi duniani ikiwemo forum yetu ya Mjasiriamali Desk.

Ukiwa na Tapatalk application ya simu ambayo inapatikana katika aina zote za simu unaweza kutembelea jukwaa la mjasiriamali Desk vyema, kwa urahisi kama unavyotumia application zingine kwenye simu yako zaidi unaweza kupata notification on real-time ya kila kinachoendelea kwenye jukwaa, cha kufanya pakua tapatalk kama hauna kisha sachi mjasiriamali desk kisha follow kuingia kwenye jukwaa.


Bila kusahau tunawakaribisha wadau mbalimbali ambao wangependa kushirikiana na Team ya Mjasiriamali Desk katika kuhakikisha tunaleta mabadiliko katika sekta ya Biashara na Ujasiriamali kwa kukutana pamoja,sehemu moja salama (thanks kwa Technologia) na kuzungumza na kutenda yale yote yenye tija na kulea mafanikio.

Karibuni sana na Asante kwa Ushirikiano.
 

Forum statistics

Threads 1,203,985
Members 457,048
Posts 28,137,047