Niwekeze wapi kati ya hivi bitcoin advantage,tatu mzuka au biko

jusan

Senior Member
Sep 17, 2017
110
84
Ndugu wana jamvi kama kichwa cha habari kinavyojieleza ,kumekuwapo na fursa nyingi tu zinazopigiwa upatu kuhusiana uwekezaji huu wa bitcoin au bet za tatu mzuka na biko ,hivyo nlikuwa naomba ushauri nitupie wapi kafedha kangu haka nliko nako mana nataka kazae angalau kidogo.ushauri wenu tafadhali.
 
Njoo bitcoin wala usiogope mm pia nlikua nahofia lkini nmejiunga nmejionea mwenyewe
 
Achana na bitcoins,tafuta cryptocurrency nyingine zinazochipukia kama kina ripple...

Sasa tatu mzuka nao ni uwekezaji?
 
Ndugu wana jamvi kama kichwa cha habari kinavyojieleza ,kumekuwapo na fursa nyingi tu zinazopigiwa upatu kuhusiana uwekezaji huu wa bitcoin au bet za tatu mzuka na biko ,hivyo nlikuwa naomba ushauri nitupie wapi kafedha kangu haka nliko nako mana nataka kazae angalau kidogo.ushauri wenu tafadhali.
Hyo hela bora ukatombee malaya kuliko kupeleka kokote kati ya huko ulipopataja
 
Hyo pesa kama ni kuanzia millioni nunua hata piki piki ufanye bodaboda, achana na hayo Makamari utakuja kufa kwa stress, wekeza sehemu inayoeleweka Hata Mungu atakubariki achana na Makamari hasa hizo pumba za bitcoin ndo usijaribu kabisaa matapeli hao Tanzania nzima hii hata Fremu hawana sasa wakikuibia sijui utalalamika wapi? Yani hyo kitu haitambuliki kisheria mkuu tuliza kichwa fanya cha maana ukishindwa hyo hela katoe sadaka kajisani
 
Back
Top Bottom