FURSA:China asks Tanzania for more cassava

mnunuzi ni nani? Tatizo ni ukosekanaji wa taarifa za kutosha, zinabaki kuwepo tu taarifa ambazo mihogo inahitajika china lakini mnunuzi wa hiyo mihogo haeleweki ni nani?
sure mkuu ikijulikana ni kampuni gani itasaidia sana
 
sure mkuu ikijulikana ni kampuni gani itasaidia sana
nimeipitia article yote, kutoka katika gazeti la "The citizen" lakini hakuna sehem walionyesha mnunuzi ni nani? wanaelezea kiasi kinachohitajika na kilichokusanywa!! Mfano leo hii nikiwa na korosho ninajua wapi nitakapoziuza, nikiwa na mahindi alkadhalika na mpunga nitajua wakwenda kumuuzia, maeneo ya pwani mihogo ipo ya kutosha

Hilo soko la China ni nani muwakilishi wake??
 
Ukiamua kutafuta utapata tu
Mkuu unatafutaje hilo soko la china??, soko la ndani linaeleweka utamuuzia nani, wachuuzi kila siku wanaingia na magari yaliyobeba mihogo katika masoko ya dsm!

Je muwakilishi wa kununua mihogo kwa soko la china ni nani?? na ieleweke hilo soko la mihogo China si kila mkulima anapeleka mihogo yake china!!
 
Nadhani hapo ndipo roles za wizara ya Viwanda, Biashara na uwekezaji inabidi ije....nadhani ni jukumu lao kuwahabarisha wananchi in full details fursa kama hizi
 
mnunuzi ni nani? Tatizo ni ukosekanaji wa taarifa za kutosha, zinabaki kuwepo tu taarifa ambazo mihogo inahitajika china lakini mnunuzi wa hiyo mihogo haeleweki ni nani?
Yaaah ofcourse .. Unalima ila Hujui pa kuipeleka unabaki kuwauzia wa sokoni tu
 
Wamesema kwamba malengo ilikuwa kwa mwaka wapate tani 100,000 ila badala yake wanapata tani 10,000 kwa mwaka Demand bado ni kubwa
Hii ni Fursa
 
Mwenye undani wa hii taarifa
IMG-20180526-WA0000.jpg
 
Back
Top Bottom