uberimae fidei
JF-Expert Member
- Dec 16, 2016
- 2,679
- 4,281
Niko Bagamoyo, mabwawa yapo tayari na maji na baadhi yana samaki nimekwama kwenye kumalizia kuingiza mbegu kwenye baadhi ya mabwawa natafuta mtu aje na mbegu ya samaki tufuge pamoja.
Tutafanya kwa mkataba wa mwaka mmoja, samaki kuvunwa ni kwa mienzi 6 mbegu inahitajika sato na ya kambale, kiasi cha vifaranga kinachohitajika kambale vifaranga 10000 na sato 2000
Gharama yake ni milioni tano na laki sita, utaamua mwenyewe uje na vifaranga ama uje na kiasi cha ela tununue pamoja na kuchagua mbegu bora, gharama ya chakula tutashare pamoja unaweza kukadiria labda milioni moja itumike kwenye kulisha kwa kipindi chote cha mienzi 6, jumla ukatumia 6600000.
Mchanganuo kwenye kuvuna, hesabu yake kwa kilo ya samaki kwa bei ya jumla ni 6000 mpaka 7000, reja reja kilo 9000 mpaka 10000 na kila samaki ana uwezo wa kufikisha kilo moja kwa mienzi 6. Soko lipo la huakika, tutagawana faida nusu kwa nusu.
Kwa atakaye kua tayari karibu pm