Nahitaji ufafanuzi juu ya jinsi makampuni ya simu yanavyolipa kodi?

Cryptopotato

Member
Dec 19, 2017
53
71
Mimi ni mteja katika mtandao wa tigo na kwa uelewa wangu naamini yanatakiwa kulipia VAT ambayo ni 18% kautoka kwenye ada zinazo katwa kutoka kwa wateja, lakini kuna baadhi ya ada kama za kulipia bili kwenye makampuni mbalimbali unakuta ada ni tsh 2000 lakini VAT unaambiwa ni tsh 30 badala ya Tsh360 ambayo ndiyo 18% ya tsh 2000 ya ada.
**Mfano kwenye attachment hapo**
 

Attachments

  • Screenshot_20180520-093347.png
    Screenshot_20180520-093347.png
    107.8 KB · Views: 37
Back
Top Bottom