Hello Watanzania Wenzangu.
Maisha yamekua magumu sana ktk kipindi hiki, kwa bahati nzuri nyumbani nina kitega uchumi, mashine ya Kutengenezea Juice Ya Miwa, sipo hapa kwa lengo la kuiuza Hapana...
Dar es Salaam. Real estate agents are increasingly finding it difficult to attract tenants for commercial premises in Dar es Salaam as residents adapt to new economic realities.
A week-long...
Habari wana JF,
Napenda kujua utaratibu wa kufuata kufungua kampuni ya betting kama ilivyo sportpesa, meridian na kadhalika!
Utaratibu ukoje?
NB: Process za brela nazijua,
Tuanzie kwenye vibali...
Hivi kuna fixed account nawea kuweka USD tu NMB? Nikitumia ya watoto vipi?
Nataka kila mwezi naweka usd 200 ila kwenye fixed account hasa ya watoto for at least two years.
Sijui kama zipo za USD
Habari zenu wadau
Pitia uzi wangu uliopita wa kujenga kwa milioni 3 😂 Haikutosha, badala yake nimetumia zaidi ya milioni 10. Kwa sasa nyumba ya vyumba viwili na choo imesimama na imeezekwa...
Habari zenu GT! Nina mpango wa kuanzisha biashara ili niweze jikwamua na tatizo la ajira, Naomba kujua nnatakiwa kuanza kupata kipi kati ya TIN (Taxpayer Identification Number) na Leseni ya biashara?
Habari za mida wasaka tonge wenzangu,
Nimekuwa natamani na mimi nimiliki biashara yangu,ila changamoto inakuwa kwenye mtaji wa kuanzishia hiyo biashara.
Njia zipi labda zinaweza kunisaidia kupata...
Hello JF,
Nimekutana na fursa ya concurrency ambayo bado ni new na ina market penetration.
So karibuni kupata high lights zake na kwa zaid nichek inbobo......
Wasalam.
Ni matumamaini yangu kuwa wote tupo salala,
Pamoja na vuguvugu kubwa la siasa , lakini kwa mjasiriamali hakuna game tamu kuliko yote kama kufinyanga PESA, mengine baadae...
Sitatumia maneno mengi katika hili. Wanasema picha zinazungumza maneno 1000.
Ya kwanza ni hapo Rwanda tu unapoweza kwenda hata na basi.
Ya pili hapo chini ni huko Marekani, Ulaya na hadi China...
Habari wakuu.. Samahanini jama, kwa wale wanaofahamu kiasi wanacholipwa wale jamaa ambao ni mawakala wa kukata tiketi za mabasi ya kwenda mikoani naomba anijulishe. Asanteni.
Mradi wa usafirishaji wa abiria ujulikanao kama TAXIFY ulionekana kama mkombozi wa abiria kwa Mwanza kama ilivyo UBER Kwa Dar es salaam.
Lakini jambo LA ajabu kwa wiki nzima sasa hali imebadilika...
Muda si mrefu nimepàta preshaa baada ya kukuta account yangu pesa hàipo imepungua niliacha trading 23 zikirun ili baadae kukikucha nizitazàme,,natazama midà hii nakutà zimekuwà cànceled ñà pesà...
Wakuu,
Wale wafanyabiashara wa dagaa hamieni Uganda na Kenya nako wanavua dagaa na soko kubwa liko Sudani Kusini hawa wanaoendesha operation ziwa Victoria wasiwaathiri.
Multinational law firm Herbert Smith Freehills (HSF) has raised concerns around Tanzania’s new integrity pledge for mining companies, questioning whether it meets international best practice...
Habari, Nililima mihogo mwaka jana ila mpaka sasa ninekosa soko , Mbegu ya mihogo niliyopanda inaitwa MKIU, Jana nikawaza nikasema labda naweza kutengeneza unga wa muhogo nikauchanganya na mahindi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.