Nataka kujua matumizi, na kinachoifanya dhahabu kuwa muhimu sana duniani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nataka kujua matumizi, na kinachoifanya dhahabu kuwa muhimu sana duniani

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Wa Mjengoni, May 9, 2010.

 1. Wa Mjengoni

  Wa Mjengoni JF-Expert Member

  #1
  May 9, 2010
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 482
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Naelewa kuwa dhahabu ni kitu cha thamani sana. Nimejionea migodini jinsi inavyo tumika gharama kubwa sana ili kupata kitu kiasi kidogo kinacho pimwa kwa ounce tu, lakini hata hivyo kidogo hicho kinakuwa kinalipa sana toka mafuta mishahara umeme nk na kampuni ya mgodi haifi na wala haiteteleki.

  SWALI LANGU NI!
  1) Je! naweza kujua matumizi yote ya dhahabu na kati ya hayo ni lipi hutumia kiasi kikubwa cha dhahabu?
  2) Ni nani hasa mnunuzi wa dhahabu zinazo toka kwenye migodi yetu baada ya makampuni ya migodi kusafirisha nje ya nchi?
  3) Dhahabu inahusishwa vipi na utajiri wa nchi fulani au katika kulinda thamani ya fedha ya nchi fulani na Je? ni lazima kila nchi iwe na dhahabu kwenye bank ya dunia?
   
 2. Mwana wa Mungu

  Mwana wa Mungu JF-Expert Member

  #2
  May 10, 2010
  Joined: Aug 14, 2008
  Messages: 1,007
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  umeoa mzee, pengine ungekuwa na jibu mojawapo la pete ya dhahabu. pia, dhahabu tangu enzi za bullionism ni mtaji, ukiwa nazo nyingi sana ulizozitoa kule mwanza unaweza kuweka kwenye hazina ya bank kuu au kwenye baadhi ya bank zinazoaminika kwasababu hela yake nyingi mno etc. kuna mengi zaidi yaho ni mwawili tu ya kuanzia.
   
 3. Wa Mjengoni

  Wa Mjengoni JF-Expert Member

  #3
  May 10, 2010
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 482
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Nimekusoma Mwana wa Mungu. Asante.
   
 4. d

  dullymo Senior Member

  #4
  May 11, 2010
  Joined: Aug 21, 2009
  Messages: 107
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  sasa zikishafika bank zinafanywa nini?
   
Loading...