Tumpara Dudu
JF-Expert Member
- Nov 15, 2016
- 617
- 487
Wakubwa zangu shkamooni.
Kama kichwa cha habar hapo juu kinavyoeleza.
Mm najishughulisha na biashara ya nafaka kama mchele na unga,sembe na dona. Sasa nataka kupandisha thamani ya bidhaa zangu kwakuziwekea vifungashio vya ujazo wa aina mbalimbali kuanzia kilo 5 had 25. Kwa unga na kuanzia kilo 1 ha 5 kwa mchele.
Hata hivyo,nakabiliwa na changamoto ya kuharibika haraka bidhaa zangu na haswa dona. Naomba kama kuna chemical itakayonisaidia kuzuia uharibikaji wa bidhaa zangu haraka bas mnisaidie kuijuwa na pia mnijulishe ni namna gani naweza kujua xpire date ya bidhaa zangu.
Pia,naomba maoni na ushauri wenu kuhusu vifungashio vizuri na vya kuvutia vya mchele na mahali ninapoweza kuvipata na bei zake.