Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Wakuu salaam. Kuanzia mwezi February 2017 nilianza ufugaji wa kuku wa mayai, kwa fedha ndogo ya akiba niliyokua nayo na nilifanikiwa kuanza na kuku 300, kutokana na ugeni ktk eneo hili na hadi...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Ujenzi wa awamu ya kwanza wa reli ya kisasa (Standard Gorge) umefikia asilimia 16 na unatarajiwa kukamilika ndani ya miezi 30 ifikapo Novemba 2019. Reli hiyo ya kisasa itakuwa ya treni yenye kasi...
4 Reactions
55 Replies
14K Views
Wakuu,anaandika Edo kumwembe Hivi ile fashion ya vijana wa dar kwenda kulima vitunguu Ruaha imeishia wapi.... Acheni kuchezea kazi za watu.... Sent using Jamii Forums mobile app
6 Reactions
23 Replies
4K Views
Jamani Nina kreti 20 nahitaji kujiunganisha na coca-cola ili waniletee na niuze jumla... Je inawezekana vipi..! Msaada wapendwa..? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habarini ndugu zangu,mimi najishughulisha na ufundi cm je nitatakiwa nami kwenda kukata lesen ya biashara kutokana na kazi hiyo ya ufundi au la?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wana JF. Kwa yeyote ambaye ameshawahi kutembelea Kigali - Rwanda au wenyeji wa huko wanaweza kunijulisha juu ya haya yafuatayo: Usafiri wa kuelekea huko kwa njia ya barabara (basi) kutokea Dar...
1 Reactions
33 Replies
10K Views
Any Tanzanian living in Solwezi Zambia let us meet here, To discuss business opportunity and challenges of living here. mtanzania anayeishi Solwez Zambia tukutane hapa tupeane fursa na...
0 Reactions
2 Replies
711 Views
Any Tanzanian living in Solwezi Zambia let us meet here, To discuss business opportunity and challenges of living here. mtanzania anayeishi Solwez Zambia tukutane hapa tupeane fursa na...
0 Reactions
1 Replies
669 Views
Wakuu Naomba kujua kuna kodi yeyote katika kusafirisha Gari toka Zanzibar?
1 Reactions
10 Replies
16K Views
Salaam, nimepata shida ghafla, naomba kwa yeyote anayeweza kunikopesha shilingi milioni tano kwa riba nafuu ndani ya miezi mitatu, dhamana hati ya nyumba. Nyumba ipo Sumbawanga mjini
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Habari wakuu nadhani kila biashara inahitaji muda ili kuweza...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
ASDP2:Was the programme which launched by the government in 2015with the aim of implementing of the programme which takes off in the context of Climate change.And it looks as the...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nahitaji kufanya Biashara ya duka la wajasiliamali jijini mbeya naomba ushauri
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kama kweli hii reli ya kisasa inajengwa kwa mtindo huu wa kutafuta fedha huku mradi ukiwa teyari umeshaanza tunaweza kweli kukamilisha mradi huu ukiwa umekidhi viwango vya ubora unaotakiwa na kwa...
5 Reactions
23 Replies
4K Views
Wana JF Naomba msaada kwa wenye uzoefu na biashara hii, Mimi Naifanyia utafiti nianze kuifanya kwa mfumo wa rejareja yaani niwe na banda. Naomba nijuzwe ni mbogamboga zipi zinanunuliwa sana na...
1 Reactions
0 Replies
4K Views
Majukwa mengi ya JF kwa sasa hufanya vizuri sana kwenye SEO za google hasa kwa lugha ya Kiswahili. Nawashauri muunde 'Content Marketing Team' itakayokuwa na kazi moja ya kutafuta wadhamini wa...
10 Reactions
25 Replies
3K Views
  • Poll Poll
Katika kusherehekea msimu huu wa Sikukuu, kampuni ya mawasiliano nchini Vodacom Tanzania imewaletea wateja wake na Watanzania kwa ujumla kampeni inayokwenda kwa jina la PESA NI M-PESA. Kupitia...
1 Reactions
61 Replies
17K Views
Vodacom Tanzania PLC imetimiza miaka kumi tangu kuzinduliwa kwa huduma ya M-Pesa. Kwa miaka hiyo kumi, Vodacom M-Pesa imejikita kwenye kutoa huduma mbali mbali kama kulipia huduma na bidhaa...
7 Reactions
50 Replies
7K Views
Habari nyote, naomba kufaham ni aina gani na shilingi ngapi inayotakiwa kulipiwa forodha / ushuru kwa mizigo inayotoka nje ya nchi. Asanteni
0 Reactions
3 Replies
3K Views
You can say it involves buying and selling stuffs, well you probably are true but what really business is? Since I am not the only one who doesn't know, I am open to suggestions Define business...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…