Zimbabwe na US dollar inawezekana vipi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Zimbabwe na US dollar inawezekana vipi?

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by JAYJAY, Jul 22, 2011.

 1. JAYJAY

  JAYJAY JF-Expert Member

  #1
  Jul 22, 2011
  Joined: Oct 31, 2008
  Messages: 2,495
  Likes Received: 824
  Trophy Points: 280
  nasikia kuwa nchi ya Zimbabwe kwa sasa inatumia dollar ya Marekani kama fedha yao. je hili linawezekana vipi kwa maana nchi inapata wapi supply ya dollar nyingi kiasi cha kuwezesha kila raia kuwa nazo na kufanya manunuzi? maana siamini kuwa wanaingiza kiasi kikubwa cha fedha za kigeni na maana dollar kiasi cha central bank yao kuweza kuzisambaza kama pesa yao? je hii inaathari kiuchumi? kama haina athari nchi kama TZ hatuwezi kuiga hii kupambana na mfumuko wa bei unaotokana na uagizaji bidhaa kutoka nje?
   
 2. RR

  RR JF-Expert Member

  #2
  Jul 22, 2011
  Joined: Mar 17, 2007
  Messages: 6,720
  Likes Received: 206
  Trophy Points: 160
  Thought wanatumia SAR....
   
Loading...