Forbes: Mabilionea 25 matajiri zaidi Afrika 2017

Kizuio

JF-Expert Member
May 29, 2018
845
521
Forbes: Mabilionea 25 matajiri zaidi Afrika 2017
21 Machi 2017
Image copyright BBC
Image caption Mtu tajiri barani Afrika kuinunua Arsenal
Mfanyabiashara kutoka Nigeria Aliko Dangote bado ndiye mtu tajiri zaidi barani Afrika kwa mujibu wa orodha ya mabilionea mwaka 2017 iliyoandaliwa na jarida la Forbes.

Utajiri wa Dangote unakadiriwa kuwa jumla ya $12.2 bilioni.

Kuna mabilionea (wa Dola) 25 mwaka huu barani Afrika, mmoja juu ya 24 waliokuwepo mwaka jana.

Wafanyabiasha kutoka Nigeria Femi Otedola na Abdulsamad Rabiu hawakufanikiwa kuingia kwenye orodha hiyo mwaka huu.

Mtanzania Mohammed Dewji bado ndiye bilionea wa umri mdogo zaidi Afrika, utajiri wake ukikadiriwa kuwa $bilion 1.09

Bw Dangote Dangote, ndiye mwanzilishi na mwenyekiti wa kampuni ya Dangote Cement inayoongoza kwa kuzalisha saruji Afrika. Anamiliki asilimia 90 ya hisa za kampuni hiyo.

Dangote Cement huzalisha tani 44 milioni za saruji kila mwaka na imepanga kuongeza uzalishaji kwa asilimia 33 kufikia 2020.

Dangote pia anamiliki hisa katika kampuni za chumvi, sukari na unga.

Image copyright BBC
Image caption Bw Mohammed Dweji
Mohammed Dewji ni afisa mkuu mtendaji wa kampuni ya METL iliyoanzishwa na babake miaka ya 1970.

Kampuni hiyo huhusika katika biashara ya nguo, unga, vinywaji na mafuta.

Kampuni hiyo huendesha shughuli zake katika zaidi ya mataifa sita barani Afrika.

Mabilionea 25 wa Afrika mwaka 2017:
1. Aliko Dangote, Nigeria

Utajiri: $12.2 bilioni

2. Nicky Oppenheimer, Afrika Kusini

Utajiri: $7 bilioni

3. Mike Adenuga, Nigeria

Utajiri: $6.1 bilioni

4. Johann Rupert, Afrika Kusini

Utajiri: $6.3 bilioni

5. Nassef Sawiris, Misri

Utajiri: $6.2 bilioni

6. Christoffel Wiese, Afrika Kusini

Utajiri: $5.9 bilioni

7. Nathan Kirsch, Swazi land

Utajiri: $3.9 bilioni

8. Naguib Sawiris, Misri

Utajiri: $3.8 bilioni

9. Isabel dos Santos, Angola
Utajiri: $3.1 bilioni

10. Issad Rebrab, Algeria
Utajiri: $3 bilioni

11. Mohamed Mansour, Misri

Utajiri: $2.7 bilioni

12. Koos Bekker, Afrika Kusini

Utajiri: $2.1 bilioni

13. Allan Gray, Afrika Kusini

Utajiri: $1.99 bilioni

14. Othman Benjelloun, Morocc o

Utajiri: $1.9 bilioni

15. Mohamed Al Fayed, Misri

Utajiri: $1.82 bilioni

16. Patrice Motsepe, Afrika Kusini

Utajiri: $1.81 bilioni

17. Yasseen Mansour, Misri

Utajiri: $1.76 bilioni

18. Folorunsho Alakija, Nigeria
Utajiri: $1.61 bilioni

19. Aziz Akhannouch, Morocc o

Utajiri: $1.58 bilioni

20. Mohammed Dewji, Tanzania
Utajiri: $1.4 bilioni

21. Stephen Saad, Afrika Kusini

Utajiri: $1.21 bilioni

22. Youssef Mansour, Misri

Utajiri: $1.15 bilioni

23. Onsi Sawiris, Misri

Utajiri: $1.14 bilioni

24. Anas Sefrioui, Misri

Utajiri: $1.06 bilioni

25. Jannie Mouton, Afrika Kusini

Utajiri: $1 bilioni
 
Basi tu nimeshindwa kuwapa data za utajiri wangu maana akina JIWE wange anza figisu figisu na kuniandama na makodi yao.

Ila nna uhakika kwenye hiyo list hamna anayefikia nusu ya utajiri wangu. .
 
Basi tu nimeshindwa kuwapa data za utajiri wangu maana akina JIWE wange anza figisu figisu na kuniandama na makodi yao.

Ila nna uhakika kwenye hiyo list hamna anayefikia nusu ya utajiri wangu. .
Nakazia..
 
nashindwa kuelewa hapo katika data za tajiri namba 3. $6.1B namba 4. $6.3B namba 5. $6.2B

mzee hii ni uchanganuzi wake upoje...
 
hesabu za makadilio ni ngumu.... utajiri una kadiliwa $1.09B alafu data zina kuwa juu ya makadilio $1.4B

Mtanzania Mohammed Dewji bado ndiye bilionea wa umri mdogo zaidi Afrika, utajiri wake ukikadiriwa kuwa $bilion 1.09 (bora ingeandikwa makadilio ni zaidi ya $1.09, sio $1.09 alafu taarifa kamili ni $1.4; ubabaishaji huu)
 
Na hapa ni afrika tu. Ukivuka nje ya africa hawa matajiri wetu kina mengi, mo, bakhressa na wengineo wanavihela vya kubadilisha mboga tu! Hata afrika yenyewe ni Mo peke yake ndiye angalau katuokoa watz kutokuwa miongoni mwa 25.
 
Forbes: Mabilionea 25 matajiri zaidi Afrika 2017
21 Machi 2017
Image copyright BBC
Image caption Mtu tajiri barani Afrika kuinunua Arsenal
Mfanyabiashara kutoka Nigeria Aliko Dangote bado ndiye mtu tajiri zaidi barani Afrika kwa mujibu wa orodha ya mabilionea mwaka 2017 iliyoandaliwa na jarida la Forbes.

Utajiri wa Dangote unakadiriwa kuwa jumla ya $12.2 bilioni.

Kuna mabilionea (wa Dola) 25 mwaka huu barani Afrika, mmoja juu ya 24 waliokuwepo mwaka jana.

Wafanyabiasha kutoka Nigeria Femi Otedola na Abdulsamad Rabiu hawakufanikiwa kuingia kwenye orodha hiyo mwaka huu.

Mtanzania Mohammed Dewji bado ndiye bilionea wa umri mdogo zaidi Afrika, utajiri wake ukikadiriwa kuwa $bilion 1.09

Bw Dangote Dangote, ndiye mwanzilishi na mwenyekiti wa kampuni ya Dangote Cement inayoongoza kwa kuzalisha saruji Afrika. Anamiliki asilimia 90 ya hisa za kampuni hiyo.

Dangote Cement huzalisha tani 44 milioni za saruji kila mwaka na imepanga kuongeza uzalishaji kwa asilimia 33 kufikia 2020.

Dangote pia anamiliki hisa katika kampuni za chumvi, sukari na unga.

Image copyright BBC
Image caption Bw Mohammed Dweji
Mohammed Dewji ni afisa mkuu mtendaji wa kampuni ya METL iliyoanzishwa na babake miaka ya 1970.

Kampuni hiyo huhusika katika biashara ya nguo, unga, vinywaji na mafuta.

Kampuni hiyo huendesha shughuli zake katika zaidi ya mataifa sita barani Afrika.

Mabilionea 25 wa Afrika mwaka 2017:
1. Aliko Dangote, Nigeria

Utajiri: $12.2 bilioni

2. Nicky Oppenheimer, Afrika Kusini

Utajiri: $7 bilioni

3. Mike Adenuga, Nigeria

Utajiri: $6.1 bilioni

4. Johann Rupert, Afrika Kusini

Utajiri: $6.3 bilioni

5. Nassef Sawiris, Misri

Utajiri: $6.2 bilioni

6. Christoffel Wiese, Afrika Kusini

Utajiri: $5.9 bilioni

7. Nathan Kirsch, Swazi land

Utajiri: $3.9 bilioni

8. Naguib Sawiris, Misri

Utajiri: $3.8 bilioni

9. Isabel dos Santos, Angola
Utajiri: $3.1 bilioni

10. Issad Rebrab, Algeria
Utajiri: $3 bilioni

11. Mohamed Mansour, Misri

Utajiri: $2.7 bilioni

12. Koos Bekker, Afrika Kusini

Utajiri: $2.1 bilioni

13. Allan Gray, Afrika Kusini

Utajiri: $1.99 bilioni

14. Othman Benjelloun, Morocc o

Utajiri: $1.9 bilioni

15. Mohamed Al Fayed, Misri

Utajiri: $1.82 bilioni

16. Patrice Motsepe, Afrika Kusini

Utajiri: $1.81 bilioni

17. Yasseen Mansour, Misri

Utajiri: $1.76 bilioni

18. Folorunsho Alakija, Nigeria
Utajiri: $1.61 bilioni

19. Aziz Akhannouch, Morocc o

Utajiri: $1.58 bilioni

20. Mohammed Dewji, Tanzania
Utajiri: $1.4 bilioni

21. Stephen Saad, Afrika Kusini

Utajiri: $1.21 bilioni

22. Youssef Mansour, Misri

Utajiri: $1.15 bilioni

23. Onsi Sawiris, Misri

Utajiri: $1.14 bilioni

24. Anas Sefrioui, Misri

Utajiri: $1.06 bilioni

25. Jannie Mouton, Afrika Kusini

Utajiri: $1 bilioni
Mh! Hata Strive Masiyiwa hayupo??
 
Hii list haina ukweli!Unamkosaje Rostam kwa mfano?
 
Huyu Muhindi Wa Sunola Anaviwanda Zaidi Ya 10 Ana Vituo Vya Mafuta Zaidi Ya 10 Anamashamba Ya Alzet Maekari Anamalori Zaidi Ya 50 Nashangaa Hayupo Hato Top 200 Za Matajri Tanzania
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom