maila majani
Senior Member
- Nov 24, 2014
- 110
- 11
Mwenye uelewa mzuri wa busta kwa ajili ya music ninamziki lakini sina busta, na nimeshauliwa nitafute busta ili mziki uwe vizuri. Tafadhali nawasilisha
Ungeweza kuandika kwenye single reply. ..equalizer pia kutumia waya original kunafanya muziki utoe sauti bora ukiweza tafuta waya used hizi kuriko izo mpya za mchinga mchinga...
net work nilipo inasumbua nikaandika maandishi marefu yanagoma kwenda mkuu...Ungeweza kuandika kwenye single reply. ..
Ndg yang inaonekana kwenye mambo ya mziki upo vzr, nisaidie mi ndo naanza sasa, nina spika mbili tu za midi aina ya fideki na mixer pamoja na laptop vingine naendelea kununua taratibu kadri mtakavyonishauri wakuunet work nilipo inasumbua nikaandika maandishi marefu yanagoma kwenda mkuu...
Pole mkuunet work nilipo inasumbua nikaandika maandishi marefu yanagoma kwenda mkuu...
hizo fidek ulichukua bei gan mkuuAsanteni sanaa kwa michango yenu nina spika mbili za mid aina ya fideki za dukani na mixer ndo naendelea kununua vingine kidogo kidogo naombeni msaada wenu wa mawazo bado spika ya bass, busta na vingine mtakavyomambia. Spika za midi na mixer ni wt 600, spika ya bass nichukue wt ngapi? Ili viendane?
Mkuu Isanga inaonekana uko vizuri kwwnye idara hiyo, nisaidie hapa nina Spika 4 za mtumba made in German zenye watts 600 ni booster gani itakayozisukuma nikapata mziki mzito nitakao uskilizia tumboni na kwenye mapigo ya moyo? kwa matumizi ya nyumbani. natanguliza shukraniok kama upo dar nenda kkoo..ddc hapo nimesahau jina la mtaa ila ni wa vumbi kuna jamaa anaitwa Lupia nadhani ndio muuzaji mkubwa wa used za vifaa hivyo utapata hizo brand nilizokutajia zinadumu kuriko mchingamchinga izo..au huku mtaa wa aggrey utauliza Lk nae anauza ivyo vifaa na pia watakuelekeza vizuri waulize unaponunua pia..