Omary Sultan Mndeme
Member
- Jan 26, 2013
- 6
- 2
Wadau nimekuja hapa kwenu JF najua hamna kinachoharibika maana meng hutatutuliwa humu nahitaji kufungua library ya kukodisha mikanda ila nahitaji iwe ya kisheria zaid nauliza kunataratibu zozote zile zinafanyika kwa wenye mamlaka na Bongo movies kuzikodisha?
Yaan kama ukataji wa kibali naombeni msaada wa hili jambo na kama kukata kibali naomba maelekezo wapi wanakatia na gharama ni shilingi ngapi?
Yaan kama ukataji wa kibali naombeni msaada wa hili jambo na kama kukata kibali naomba maelekezo wapi wanakatia na gharama ni shilingi ngapi?