Wataalam wa Albaba msaada hapa

October man

JF-Expert Member
Nov 23, 2017
3,635
4,997
Wadau wanaojua mambo ya kununua vitu online wanisaidie je hapo bei ya hizi bidhaa ni yepi maana inavyoandikwa kama hivi inanichanganya $500.000-1000.000

Nipeni uchambuzi na je nikiagiza bidhaa kama hiyo itafika TZ na je kutakiwa na kodi yoyote.
Screenshot_20181017-201108.jpg
 
Hizo bei huwa wanarange kutokana na items utakazoagiza.

Kama ukiclick moja ya item baadhi huwa wanaonyesha price kwa minimum items huwa ni kubwa.

Ila items ukichukuwa nyingi price inakuwa ndogo kuendana na range ya price suplier aliyoiweka
 
Write your reply...
niliona simu smartphone inauzwa $1-$29.9!nikawaza hii $29.9 mbona hela ndogo sana isije kuwa bosheni wakaniingiza mjini..
 
Back
Top Bottom