Wahasibu na wenye uelewa naombeni msaada wenu hapa tafadhali

Upepo wa Pesa

JF-Expert Member
Aug 8, 2015
21,237
34,185
Kwanza nawasilimu!

Pili...

Katika harakati za kuhakikisha naweka kumbu kumbu za mapato na matumizi yangu kwa mwezi nimeamua kutengeneza "spread sheet" ambayo ina sehemu mbili, Income na Expenses. Sehemu ya "revenue" nimeweka mshahara wangu na mapato mengine, na sehemu ya "expenses" nimeweka matumizi yangu ya mwezi husika.

Swali,

Je kama mishahara imekutana, yaani nimebakiwa na salio kwenye mwezi husika, je hili salio kwenye mwezi ujao nitalijaza kama "Income(mapato)" au "Expense(matumizi)"?

Mfano baada ya matumizi kwa mwezi nikabakiwa na 200k, je hii 200k kwenye mwezi ujao nitaijaza kama revenue (mapato)?

NB: Baada ya kutoa revenue na expenses nabakiwa na kiwango cha pesa kichobaki kwenye mwezi husika!

Naomba kuwasilisha tafadhali!

UPDATE!

Ile kazi nimeimaliza kiasi fulani...

Nimejaribu ku attach excel imekataa ila nimeweka zip file, ukiifungua utaona hilo file!

Naomba muipitie kama itahitaji mabadiliko let me know!

NB: Iko automated, kiasi utachotumia unajaza kwenye column ya "Amount".. Ukishaijaza itakuletea mapato na matumizi yako in terms of %, itakuonyesha matumizi gani yalikua makubwa na yapi yalikua madogo!!

Pia kuhusu swala la salio, chini kabisa nimeweka rows zenye open balance, closing balance na total income...zote hizi zitakupa total, automatically ukishajaza!

Mshahara nimeamua kutumia "take home salary" ila unaweza tumia basic salary alafu makato ukayaweka kwenye row ya "fixed expenses"!!
 
Attachments

  • budget_analysis2 (2).zip
    10.6 KB · Views: 23
Balance forward. Hamisha iyo pesa iingie mwezi mwingine ila kumbuka sio revenue.
Nashukuru kwa mawazo mkuu, sasa nitaijaza sehemu ya "expenses" au niitengenezee cell yake nii term kama "previous balance"? na nikiiweka kama previous balance je kwenye jumla ya mapato ya mwezi ujao nitaijumuishaje?
 
Kwanza nawasilimu!

Pili...

Katika harakati za kuhakikisha naweka kumbu kumbu za mapato na matumizi yangu kwa mwezi nimeamua kutengeneza "spread sheet" ambayo ina sehemu mbili, Revenue na Expenses. Sehemu ya "revenue" nimeweka mshahara wangu na mapato mengine, na sehemu ya "expenses" nimeweka matumizi yangu ya mwezi husika.

Swali,

Je kama mishahara imekutana, yaani nimebakiwa na salio kwenye mwezi husika, je hili salio kwenye mwezi ujao nitalijaza kama "Revenue (mapato)" au "Expense(matumizi)"?

Mfano baada ya matumizi kwa mwezi nikabakiwa na 200k, je hii 200k kwenye mwezi ujao nitaijaza kama revenue (mapato)?

NB: Baada ya kutoa revenue na expenses nabakiwa na kiwango cha pesa kichobaki kwenye mwezi husika!

Naomba kuwasilisha tafadhali!

yeah lazima ianze hiyo kuonekana kabla ya kitu chochote utakacho pata na kutumia mwezi unaoanza
 
Kama nimekuelewa vizuri, una maanisha kama mwezi huu (october) nikabakiwa na 50,000 tsh basi hii elfu hamsini niiweke kwenye section ya "revenue" ya mwezi ujao (November)?

Au nimeelewa vibaya mkuu?
 
Kwanza nawasilimu!

Pili...

Katika harakati za kuhakikisha naweka kumbu kumbu za mapato na matumizi yangu kwa mwezi nimeamua kutengeneza "spread sheet" ambayo ina sehemu mbili, Revenue na Expenses. Sehemu ya "revenue" nimeweka mshahara wangu na mapato mengine, na sehemu ya "expenses" nimeweka matumizi yangu ya mwezi husika.

Swali,

Je kama mishahara imekutana, yaani nimebakiwa na salio kwenye mwezi husika, je hili salio kwenye mwezi ujao nitalijaza kama "Revenue (mapato)" au "Expense(matumizi)"?

Mfano baada ya matumizi kwa mwezi nikabakiwa na 200k, je hii 200k kwenye mwezi ujao nitaijaza kama revenue (mapato)?

NB: Baada ya kutoa revenue na expenses nabakiwa na kiwango cha pesa kichobaki kwenye mwezi husika!

Naomba kuwasilisha tafadhali!
Kwenye mwezi mwingine, salio linakuwa upande wa mapato lakini linaitwa "baki letwa" na siyo mapato kwa mwezii huo.
 
Nashukuru kwa mawazo yako kiongozi!!

Kwa hiyo salio la mwezi huu nitaliweka kwenye upande wa "revenue" wa mwezi ujao.

Lakini je,mwezi ujao nikiwa natafuta "net income" salio la mwezi huu wa kumi nalo nitaijumuisha kwenye jumla kuu ya mwezi ujao/November?
 
Kwa mwezi mmoja wa November haitaingia lakini kwa miezi miwili itaingia
 
Kwanza nawasilimu!

Pili...

Katika harakati za kuhakikisha naweka kumbu kumbu za mapato na matumizi yangu kwa mwezi nimeamua kutengeneza "spread sheet" ambayo ina sehemu mbili, Revenue na Expenses. Sehemu ya "revenue" nimeweka mshahara wangu na mapato mengine, na sehemu ya "expenses" nimeweka matumizi yangu ya mwezi husika.

Swali,

Je kama mishahara imekutana, yaani nimebakiwa na salio kwenye mwezi husika, je hili salio kwenye mwezi ujao nitalijaza kama "Revenue (mapato)" au "Expense(matumizi)"?

Mfano baada ya matumizi kwa mwezi nikabakiwa na 200k, je hii 200k kwenye mwezi ujao nitaijaza kama revenue (mapato)?

NB: Baada ya kutoa revenue na expenses nabakiwa na kiwango cha pesa kichobaki kwenye mwezi husika!

Naomba kuwasilisha tafadhali!
Mkuu, mshahara sio revenue, ni income. Income zote sio revenue ila revenue ni income. Salio linalobaki kwenye mshahara let's say salio la September haliwezi kuwa income ya October. You only account income once. Pia mshahara sio income kama unafanya biashara. Kama unajilipa mshahara basi mshahara ni drawings inayopunguza equity yako, ni expense ya mmiliki wa hiyo biashara. Salio lolote linalobaki baada ya kutoa expenses linakwenda kwenye retained earnings. Retained earnings yako ni sehemu ya networth ya asset zako, kiuhasibu tunasema "owner's equity". So kutokea kule kwenye retained earnings ndio unaweza kufanya drawings kwa ajili ya matumizi yako binafsi, i.e kujilipa mshahara. Kama umejilipa mshahara na ukajikuta sehemu ya mshahara uliyodraw imebaki na ukaamua kuirudisha kwenye biashara, basi hiyo hela uliyoirudisha haitaingia kama income itaingia kama capital contribution, yaani itaingia kama sehemu ya mtaji wa hiyo biashara yako hivyo itaongeza equity yako i.e. capital. Maelezo haya yanahusu kama unapata income kama sehemu ya biashara na sio income ya mshahara pekee.
 
Thnaks kwa maelezo yako! ila huu ni mshahara mkuu, naomba unieleweshe zaidi!!
 
Mkuu, mshahara sio revenue, ni income. Income zote sio revenue ila revenue ni income. Salio linalobaki kwenye mshahara let's say salio la September haliwezi kuwa income ya October. You only account income once.
Sasa mkuu wangu salio nililo bakiwa nalo mwaka huu baada ya kutoa matumizi yote, nitalijumuishaje kwenye mwezi ujao? je nitaliweka katika section ya "income"? na je wakati wa kutafuta total net income ya mwezi ujao hili salio la mwezi huu nitaijumuisha kwenye huo mwezi?

NB: Ni mshahara.
 
Thnaks kwa maelezo yako! ila huu ni mshahara mkuu, naomba unieleweshe zaidi!!
Kama ni mshahara pekee treatment yake itakuwa kama unavyotreat mapato yako kwa ajili ya kulipa income tax i.e. PAYE. Maana yake utajumlisha income zako zote including mshahara na utatoa expenses zako zote. Kitakachobaki utakipeleka kwenye reserve (retained earnings). Kule sasa (reserves) ndio utatolea hela ya matumizi. In nutshell unauingiza mshahara mzima then toa matumizi yako kinachobaki kitupie kwenye reserves. So reserves yako itakuwa inaongezeka kila mwezi kama matumizi yatakuwa madogo kuliko mshahara.
 
Mshahara ukibaki baada ya kutoa matumizi salio unaliweka kwenye reserves. Reserves itakuwa inaongezeka kila mara unapokuwa na salio la mshahara. Kumbuka salio sio income tena. Income unaiaccount mara moja tu. Ukiliaacount salio utakuwa unadouble counting kwa sababu hilo salio ni sehemu ya income ambayo tayari ulishaiaccount huko nyuma.
 
Nashukuru mkuu nimekupata.
 
Kwanza nawasilimu!

Pili...

Katika harakati za kuhakikisha naweka kumbu kumbu za mapato na matumizi yangu kwa mwezi nimeamua kutengeneza "spread sheet" ambayo ina sehemu mbili, Revenue na Expenses. Sehemu ya "revenue" nimeweka mshahara wangu na mapato mengine, na sehemu ya "expenses" nimeweka matumizi yangu ya mwezi husika.

Swali,

Je kama mishahara imekutana, yaani nimebakiwa na salio kwenye mwezi husika, je hili salio kwenye mwezi ujao nitalijaza kama "Revenue (mapato)" au "Expense(matumizi)"?

Mfano baada ya matumizi kwa mwezi nikabakiwa na 200k, je hii 200k kwenye mwezi ujao nitaijaza kama revenue (mapato)?

NB: Baada ya kutoa revenue na expenses nabakiwa na kiwango cha pesa kichobaki kwenye mwezi husika!

Naomba kuwasilisha tafadhali!
usijichanganye ukafanya vitu vigumu kama wewe ni mhasibu,tiririka kama hivi utakuwa na kumbukumbu nzuri tu,andika kila mapato na matumizi na siku ya kufunga mahesabu hakikisha balnce unayopata kwenye kitabu ina match kiasi ulichonacho.
income&expenditure.png
 
usijichanganye ukafanya vitu vigumu kama wewe ni mhasibu,tiririka kama hivi utakuwa na kumbukumbu nzuri tu,andika kila mapato na matumizi na siku ya kufunga mahesabu hakikisha balnce unayopata kwenye kitabu ina match kiasi ulichonacho.View attachment 903714
Hapana mzee, unamwingiza chaka. Huwezi kutreat salio kama sehemu ya income for next month. Hapo utakuwa una double count. Salio ni sehemu ya income ya mwezi uliopita iweje tena iwe ni income ya mwezi huu? Hiyo haikubaliki. Akifanya hivyo atakuwa anajidanganya ana income kubwa kila mwezi kumbe income zingine ni za miezi iliyopita. Kila mwezi weka fresh income. Salio weka sehemu nyingine.
 
Pamoja sana kiongozi!!
 
Back
Top Bottom