TZ currency v.s USD exchange rate history/trend

C.K

JF-Expert Member
Nov 5, 2010
394
162
Habarini jamani... Naomba mwenye source ya historia ya kiwango cha kubadilishia fedha TZSH vs USD hasa kwa mwaka 1961 tulipopata uhuru anisaidie.., nime-google mpaka nimechoka. Kwa mfano, kwa sasa 2012, 1USD = 1600 TSH, je mwaka 1961 ilikuwaje? na miaka mingine pia hasa ya zamani.., 1961 - 2000 fulani hivi.

NB: Lakini nataka sana kwa 1961
 
Currency ilikuwa ni moja kwa nchi za Afrika Mashariki, zilizokuwa chini ya koloni la Mwingereza ilianza kutumika kuanzia mwaka 1921 hadi 1969.
 
Currency ilikuwa ni moja kwa nchi za Afrika Mashariki, zilizokuwa chini ya koloni la Mwingereza hadi 1967.

Kama rekodi zangu hazijachakachuliwa, mwaka huo wa 1961 hadi 1967 hiyo sarafu ya Afrika Mashariki ilikuwa na thamani ya 1 US $ = 7 shillings na 1 Sterling pound = 20 shillings
 
Kama rekodi zangu hazijachakachuliwa, mwaka huo wa 1961 hadi 1967 hiyo sarafu ya Afrika Mashariki ilikuwa na thamani ya 1 US $ = 7 shillings na 1 Sterling pound = 20 shillings

Sina uhakika sana na hiyo hesabu yako ya 1 US $ = 7 Shillings kwa mwaka 1961. Ninachokumbuka mimi kwenye miaka ya 70s ambapo 1 US $ was = 5 Tshillings. Hapo ndipo shilingi tamo ilipoanza kuitwa "dala" au 'gwala'. Ni kwa sababu ya hiyo exchange rate. Sasa kama 60s ilikuwa 7 Tsh, ina maana Tsh ilipanda thamani kwenye 70s? Ngoja wengine nao wajaribu kukumbuka.
 
The East African Currency Board (EACB) supplied and oversaw the currency of British colonies in East Africa from 1919 to 1966. It was established after Britain took control of mainland Tanzania from Germany at the end of World War I, and originally oversaw the territories of Uganda, Kenya, and Tanzania (excluding Zanzibar). Zanibar joined the currency area in 1936.

For most of its existence, its main function was to maintain the local shilling at par with the shilling in the United Kingdom. This was done by ensuring that the local currency was adequately backed by sterling securities. It operated out of premises at 4 Millbank, London SW1. The Board was replaced by the independent central banks of Uganda, Kenya and Tanzania in 1966.

The pound sterling was originally divided into twenty shillings, and it is normal to consider the shilling sterling to be a subsidiary unit of the pound. However, in British East Africa, even though twenty shillings were equal in value to one pound sterling, the shilling was always taken to be the primary unit of account. This state of affairs was unique amongst all the parts of the British Empire that used the sterling currency.

This anomalous state of affairs arose because British East Africa was actually originally in the rupee zone and not in the sterling zone. The East African shilling was introduced to Kenya, Tanganyika (now mainland Tanzania), and Uganda in 1921, replacing the short-lived florin at a rate of 2 shillings = 1 florin. The short lived Florin had been brought about as a result of the rising price of silver which occurred in the wake of World War I.

At that time, the Indian Rupee was the currency of the British East African states. The Rupee, being a silver coin rose in value against sterling. When it reached the value of two shillings, the authorities decided to replace it with the Florin. From the florin thence came the East African shilling. The currency remained pegged to one shilling sterling and was subdivided into 100 cents. In 1936, Zanzibar joined the currency board, and the Zanzibari rupee was replaced at a rate of 1.5 East African shillings = 1 Zanzibari rupee. It was replaced by local currencies (Kenyan shilling, Ugandan shilling and Tanzanian shilingi) following the colonies' independence.In 1951, the East African shilling replaced the Indian Rupee in the Aden colony and protectorate, which became the South Arabian Federation in 1963. In 1965, the East African Currency Board was breaking up, and the South Arabian dinar replaced the shilling in the South Arabian Federation at a rate of 20 shillings to 1 dinar
 
Habarini jamani... Naomba mwenye source ya historia ya kiwango cha kubadilishia fedha TZSH vs USD hasa kwa mwaka 1961 tulipopata uhuru anisaidie.., nime-google mpaka nimechoka. Kwa mfano, kwa sasa 2012, 1USD = 1600 TSH, je mwaka 1961 ilikuwaje? na miaka mingine pia hasa ya zamani.., 1961 - 2000 fulani hivi.

NB: Lakini nataka sana kwa 1961

Nimebahatika kuzipata hizo Exchange rates kutoka mwaka 1966-2010 sema naomba mniekeze jinsi ya ku upload haka ka page. Nimezikuta kwenye Publication ya BOT , Tanzania Mainlands 50 Yrs of Independence , A Review of Role and Functions of the Bank of Tanzania.
 
1USD, Ilikuwa sawa na 5Tsh ndio maana sh. tano ilikuwa inaitwa dala, yaani dollar, na ndio nauli DSM ilipokuwa Sh 5, ikazaa neno DALADALA. Msibishe!!!!!!!!!!!!!!
 
According to BOT

Nimejaribu kuweka kwa ufupi wao wametaja 1966-2010 bila kuruka. Hii itakupa picha halisi ya kuporomoka kwa shillingi.

YEAR
RATE TZS/USD
1966
7.14
1970
7.14
1975
8.26
1980
8.33
1982
12.46
1983
9.52
1988
125
1990
196.6
1992
335
1995
550.36
1998
681
2000
803.3
2003
1063.62
2008
1280.3
2010
1453.54
 
1540557021351.png
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom