Naomba kufahamu riba ya mikopo bank ya posta

chotibalula

JF-Expert Member
Dec 4, 2014
206
110
Za sahivi wana jamii,
Kama kichwa cha habari kinavyosema... Naomba mwenye kujua riba na taratibu za mikopo kutoka bank ya posta. Mimi mtumishi nataka mkop wa mshahara. Asanteni.
 
Bank ya Posta Riba ni 15% flat kwa wafanyakazi !! Aidha kuna Idara ambazo riba yake iko chini zaidi MF PCCB Na VETA
 
N
Za sahivi wana jamii,
Kama kichwa cha habari kinavyosema... Naomba mwenye kujua riba na taratibu za mikopo kutoka bank ya posta. Mimi mtumishi nataka mkop wa mshahara. Asanteni.

===========================================================================
Unapotaka kuchukua mkopo mahali popote:-
1) - Ni vizuri ukaenda kwenye tawi la benki lililo karibu kwa maelezo zaidi.
2) Pia sio mbaya ukajaribu kuangalia na fursa za mikopo katiba mabenki mbalimbali ili uweze kulinganisha.
3) Kabla ya kuamua kuchukua mkopo hakikisha umejirizisha na kiwango cha Marejesho/Monthly Payment kulingana na mkopo husika ikiwa ni pamoja na kupata maelezo ya gharama/tozo/ada nyinginezo zinazohusiana na mkopo unaotaka kukopeshwa.
4) Kuwa makini na usihadaike na kiwango cha chini cha riba kinachotozwa na ; unaweza ambiwa riba ni let's say 13% kwa mwaka, lakini unacholipa kwa mwezi (Marejesho/Monthly payment) ni zaidi ya aliyekopa mkopo unaotozwa asilimia 18% au zaidi kwa mwaka.

Natumai umenielewa.

Jf ni kama data base ya kuanzia. Hivyo kuuliza na kupata habari za awali hapa ni sahihi kabisa.
 
Back
Top Bottom