SUWASA Sumbawanga huduma zenu ni za hovyoo!!

nyundo2017

JF-Expert Member
Sep 7, 2017
1,358
2,000
Habarini wadau,

Kwakweli ni halali mashirika ya umma kufa kutokana na uzembe na uzito wa kufanyakazi kiasi kwamba wanajivuta sana maongezi binafsi yametawala hawako serious na wateja.

Jirekebisheni haraka huduma zenu mbovu kuliko wazito yaani mtumishi unakaa tu kisa fomu za maombi zimeisha na unamjibu mteja hivyo kirahisi tu na kuondoka,sijui mteja akatafute yeye fomu husika
 

makundubhyali

JF-Expert Member
May 26, 2013
2,389
2,000
Hata ukilipia huduma yao ya maji ni shida kuliko, Sisi tunaokaa Mkoani tunapata maji kuanzia asubuhi saa 12 mpaka saa tatu usiku Maeneo mengine kama chanji na maeneo ya jirani ni kuanzia saa moja asubuhi mpaka saa tatu asubuhi mpaka kesho yake tena, Siku hiyo wakiamka vizuri wanapamp kuanzaia saa12 alfajiri. Mimi mnilishindwa kuvumilia nikaamia mkoani.
 

zipompa

JF-Expert Member
Aug 19, 2014
6,744
2,000
Hawa idara ya maji kote wamekuwa wapuuzi sana, hapa katavi wanazingua kweli billi hawaleti, (ukiwapa namba ofisini hawatumi bill kwa sms) ukiwafata wanajivuta sana na kudai vifaa hawana wakati kila mwezi wanakata 2500 kwa ajili ya ukarabati
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom