Bank ambayo haina makato ya kila mwezi

Cologero

Senior Member
Oct 14, 2015
101
86
Habari za mda huu ndugu zangu naombeni kuuliza ka waha Tanzania kwetu kuna benki yoyote ambayo haina makato ya kila mwezi na kama ipo ni ipi ili nikafungue account na mm niwek kihakiba changu.
Natumai nitapata msaada
 
Jaribu kufungua account za dola ila makato ya kuchukua hela lazima yawe makubwa maana hawakukati kila mwezi Ila kila utakapotoa hela unakatwa hela kiasi
 
Bank nzuri ni assets tu hakuna zaidi ya hivyo,bank kama kukaa hela isizidi mill5/10 kwa sisi maskini na hii ni kwa ajili ya dharura za kimaisha then nyengine wekeza kwenye vitu vinavyohifadhi hela yako kwa faida kama viwanja mashamba etc.

Usije ukanunua gari ukasema ni asset,hiyo ni sawa na kuweka dhamana hela yako mahali kasoro ni kuwa unakuwa unatembea huku ukiiona.
 
Kimbia mara kafungue account Equity, pesa yako itakuwa salama kabisa hata kuangalia salio ni bureeee
Hata hao kuna siku watakata tu wanafanya hivi kuwavutia wateja.
Hi ni janja janja ya biashara muwe wengi then siku wakipiga panga wanajikuta wanaondoka na faida waliyoikusanya NMB mwaka mzima so yankuwa yale yale.
 
Hivi mpaka hizi benk za kiislamu wanakata?
 
Back
Top Bottom