Naandika ikiwa ni kuelezea masikitiko yangu dhidi ya ununuzi wa korosho kwa mwaka 2018/19.
Juzi tumetangatiwa kwamba kampuni ya Kenya itanunua tani laki moja ya korosho kwa shilingi bilioni 418...
MIRADI MIKUBWA YA MAENDELEO NCHINI TANZANIA ILIYOWEKWA ILI KUFIKIA UCHUMI WA KATI IFIKAPO 2025
Serikali ya Rais John Magufuli imeanzisha Miradi ya kuhakikisha kuwa Tanzania inapata uchumi wa...
Kuna Kabiashara kadogo nataka kukaanzisha, lakini kutokana na usumbufu wa TRA kwasasa,je naweza kuwafuata nikawaomba japo miezi 6 kisha ndio nianze kulipia?
Kwa hali ya TRA ya sasa wamekuwa kama...
Wana JF;
Sisi tuna-own Kampuni inayojshughulisha na Secretarial Services, Printing (Cards, Posters, Business Cards, Invitation Cards, Fliers etc). Tunazamia ku-expand business ili tufungue small...
Habari za Mchana huu waungwana.
Niende moja kwa moja kwenye mada iliyobeba kichwa cha habari hapo juu.
Kukotokana na kukithiri kwa wizi wa mtandao kupitia simu za Mkononi ni wakati mwafaka kwa...
Wakuu hamjambo, nmepita maeneo fulani hivi katika matembezi, nimeona mwamba huu wa rangi kama nyeusi hivi; ikabidi nilichukue kwa uchunguzi zaidi, test ya kwanza nimefanya kwenye sumaku na...
Unawezaji kupunguza woga wa kushindwa katika biashara?
Wasi wasi wakushindwa umetuzuia hatakuanza, na tumekuwa tukishindwa hata kabla ya kuanza, yaani kabla mtuhajafikilia kuanzisha biashara...
Nimekutana na watu kadhaa wanao anza biashara au miradi, haswa waajiriwa wanao taka kuongeza kipato nje ya ajira zao, wakikata tamaa na kuachana na hab ari ya miradi pale zinapo ibuka changamoto...
Habarini wakuu,
Kuna idea ninayo sasa itanilazimu kuanzisha kampuni, nimepanga kwanza ntaiendesha kama kampuni ndogo na nafikiri ntaanza na kama waajiriwa wawili au watatu.
Ila sasa kuna kitu...
MAENDELEO BANK - PLC, inatarajia kufanya Mkutano mkuu wa 4 wa mwaka Mkutano huo utakaowakutanisha Wanahisa wote utafanyika Juni 23 mwaka huu kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee.
Hayo yametanabaishwa...
Katika Biashara kuna faida serikali ikamiliki hisa 100% au Serikali iuze shares at least by 20%?
Serikali ibaki na 80% na public (watanzania) wanunue 20%
Mimi naona wananchi wakinunua share...
Habari ndugu, mimi ni kijana mjasiriamali nipo Nzega-Tabora, nauza karoti kwa rejareja na jumla, pia nasambaza kwa wauzaji wa masoko mengine kama kahama, Igunga, Tabora mjini. Nifanyeje ili niweze...
ELIMU YA UJASIRIAMALI: KUELEKEA KWENYE MAENDELEO ENDELEVU TANZANIA
Baika – Mr. (March 2018)
1.0. Utangulizi
U
limwengu unabadilika kwa kasi kubwa. Kwa hakika jamii yoyote ambayo haijajiandaa...
HUDUMA ya M Pesa inayotolewa na kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom imetajwa kuwa chachu ya hatua kubwa iliyopigwa na Tanzania katika kuhakikisha watu wake wengi wanafikiwa na huduma za kifedha...
Wakuu Leo nimeona nije na Mada hii ili ndugu zangu mlioko mjini mnufaike kupitia mawazo yangu!
Iko hivi mjini Kuna watu wengi tofauti na kijijni. Yaani Unakuta nyumba 1 Ina watu zaidi ya 20...
Kuna mafanikio aina mbili katika maisha japo dunia huangalia zaidi mafanikio ya nje lakini kuna mafanikio ya ndani ambayo ndio ya muhimu kuliko vyote.
Kumbuka kitu chochote kabla hata...
Naombeni msaada nifanyeje niweze kudhibiti wazo la biashara?
ninakuwa na malengo ya biashara kabla sijawa na mtaji. Lakini kila nikipata hela najikuta nachanganikiwa nisijuwe nifanye biashara...