Kupunguza Woga/Fear ya Kushindwa katika kuanzisha Biashara | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kupunguza Woga/Fear ya Kushindwa katika kuanzisha Biashara

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by CHASHA FARMING, Jun 7, 2012.

 1. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #1
  Jun 7, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,128
  Trophy Points: 280
  Unawezaji kupunguza woga wa kushindwa katika biashara?

  [​IMG]

  Wasi wasi wakushindwa umetuzuia hatakuanza, na tumekuwa tukishindwa hata kabla ya kuanza, yaani kabla mtuhajafikilia kuanzisha biashara tiyali ameisha shindwa, hivyo wakuu nimejaribukuangalia baadhi ya njia za kupunguza wasiwasi wa kushindwa kuanza biashara

  1. Hakikisha kwamba familia yako haitapata shida wakati utakapokuwa unaanza biashara

  -Watuwengi sana wamekuwa wakishindwa kuanza biashara kwa kuhofia familia zao, mtuakifikilia familia yake anaona bora tu aendelee na mshahara wa mwisho wa mwezikuliko kunza biashara halafu familia iteseke
  Hiini ulweli kwa sababu kushindwa kwako kutaathiri hadi familia yako, marafikizako, ndugu zako na kazalika, ukiwa na huzuni ya kushindwa biashara hata watotona mke hawatakuwa na furaha kamwe,
  Hivyowaandae watoto wako, mke/mme wako kisaikolojia kwanza, na hakikisha kwamba hataukishindwa familia yako haitafeel pain sana, hii itakusaidia

  2. Don't over spend

  Watuwengi wamekuwa wkiwa na wasiwasi wa kushindwa kwa sababu ya kutambua kwambawatatumia ghalama kubwa katika biashara,
  KAMA NI BIASHARA YAKO YA KWANZA KABISA NA NDO UNAANZA BIASHARA USI OVER SPEND,tumekuwa tunaathiriwa na biashara za wengine, mtu anatembelea ofisi ya kampuniFulani kule BENJAMINI MKAPA TOWE, nay eye anawaza kuwa na vitu kama alivyo onakule, No anza na ulicho nacho, na kwabaisahra ya kwanza usitumie pesa nyingi sana, Kama ni hoteli anza na MABENCHKWANZA make kinacho mata ni huduma na si fanicha, unaweza weka fanicha karisana lakini kama huduma ikiwa mbovu huta muona mtu

  3. Fanya market research kwanza

  Hiiinaweza kukupunguzia uoga wa kushindwa, make utakuwa na uhakika wa soko baadaya kuwa umefanya research, Watu wengi ni wabishi sana tunaanza biashara kwakuamni kwamba wateja watakuja tu, hii ni makosa makubwa sana,
  TUMEKUWATUKIFANYA RESEARCH YETU KWENYE BEI, KAMA KITU KINA LIPA MTU HUANZA BIASHARABILA YA KUJUA ATAMUUZIA NANI,

  market research haiko kwenye bei pekee iko sehemunyingi kama vile

  - Demand
  - Competitors
  - Market share
  - Population
  - Price
  - Na kazalika
  Tumekuwahatu fanyi hayo yote matokeo yake mtu anakurupuka anaanza kufuga KUKU kisa tumtaani kwao watu wanafuga na inalipa sana, hayo ni makosa makubwa sana wakuu
  4. Kila biashara ina Risk yake

  Hivyofanyia tambua riski zote zilizoko katika Biashara yako na zifanyie kazi,
  Mfano:Ufugaji wa kuku, Watu wamekuwa wakiogopa sana biashara ya kufuga kuku kisa tuugonjwa, sasa kama unafahamu riski kubwa ni ugonjwa ni kwa nini usifanyie kazihili tatizo? Je hakuna madawa? Je tatizo nini?

  5. Vitendo, TAKE ACTION OTHERWISE YO FAILED

  Kufanyakwa vitendo nako hupunguza wasiwasi wa kushindwa, watu wengi wamekuwa wakiishiakusema nina Business planning nzuri sana, BUSINESS PLANING SI BIASHARA,BUSINESS PKANING NI MAKARATAI, NA KUYAWEKA KATIKA VITENDO NI ISHU NYINGINEKABISA

  6. Kumbuka Wajasirimali wakubwa DUNIANI walishindwa mara nyingisana kabla ya kufanikiwa

  Ukiwana wasiwasi wakushindwa katika biashara yako, fikilia kwanza kuhusuwajasirimali wakubwa walishindwa kabla ya kufanikiwa, SOMA HISTORIA YA HONDA,wacheki wakina Michaele Dell, mcheki na Henry Ford hawa walishindwa mara kibaokabla ya kuja kufanikiwa

  Steve Jobs is a great example. He revolutionized thecomputer and multimedia industry with his marvelous inventions and successstories, but he is also an entrepreneur who had a lot of epic fails. Do youremember Apple I and Apple II computers? They were sold in mere hundreds andwere complete failures. What about Lisa, introduced in the early 1980s? Whatabout NeXT Computer? Do you relate these failures to Steve Jobs? – Not sure…Well yes, he failed on these ones but all of them were followed by greatsuccesses. Check Nick Shulz' great blogpost, "

  WhataboutGoogle? Even great companies such as Google havestartup failures. Google Wave, Google Nexus One, Jaiku, or Google Answers are someexamples of startup projects which required huge investments and in the endthey still failed. Follow this andthis link to readmore about Google startup failures. Thus, we can see that failing is part ofthe learning process and part of your way to success.

  To sumup, failing is not such a bad thing. In fact it is a great thing because itteaches you to things you cannot learn without "hitting the ground".

  Fred Wilsonsays:"Whenwe meet with entrepreneurs, I'm always interested in their failures. And mostpeople have them, you just have to dig a bit to find them. If someone hasfailed and taken the time to learn from it, I think that's a big positive. Itmakes us even more excited to back them the next time. Don't hide yourfailures. Wear them as a badge of honor. And most of all, learn from them

  7. Usiweke mayai yote kwenye kapu moja

  Madhara ya kuweka mayai yote kwenye kapu moja ni kwambamara tu kikapu kitakapo dondoka, itakuwa imekula kwako, hivyo basi njianyingine ya kupunuza wasiwasi wa kushindwa ni kujaribu kuwa na SBU nagala mbilihadi tatu,
  Unapo anza biashara mathalani ya Hoteli, kuwa basi nabiashara nyingine ya Ufugaji wa kuku au kilimo cha Mboga, hii itakupunguziawasiwasi kwa sababu utakuwa unajua kwamba ukishindwa sehemu moja bado unasehemuya pili ya kufanya vizuri

  8. Choma Meli moto/Burn the boat

  Huu ni mkakati ulio kuwa ukitumiwa na wagiriki enzi zavita miaka hiyo, Wanajeshi wa Kigiriki walivyo kuwa wakifanikiwa kufika eneo laVita au kwenye uwanja wa vita kitu cha kwanza walicho kuwa wakifanya ni kuchomaVitu vilivyo wafikisha eneo la VITA, walichoma mashua na meli zao zote, hii iliwafanya wasiwe na altenativeyeyote ile zaidi ya kupigana na kushinda vita make wakishindwa bado wata uwauwatu kwa sababu tiyali wameisha choma moto MELI ZAO NA MASHUA ZAO

  Na hii iliwafanya wanajeshi wa Kigiriki kuwa na Molari yahali ya juu na ujasiri mkubwa sana na mara zote walikuwa wakishinda

  SO? Kama kushindwa na kushinda katika biashara ndooptional pekee zilizopo huna budu kuzifuata zote na kupigana gadi mwisho.

  Kama una aidea lakini unaogopa kuanza CHOMA MOTO MELIYAKO na enedelea mbele kwa kuamini kwamba kushindwa hakutakusaidia chochotekile, WAGIRIKI walikuwa wakiamni hata kama wakishindwa ni kazi bure, so na wewefika mahali uamini kwamba hata kama ukishindwa ni kazi bure hivyo ni kupiganatu
  WAKUU, fear ya kushindwa huondoka mara tu unapo gunduakwamba haitakusaidia chochote kile
  [​IMG]

  9.
  Tambua ghalama za furusa unazo ziacha

  Kabla hujafikilia kuacha biashara au kuanzisha biasharaFulani fikila ghalama au COST OF MISSED OPPORTUNITIES ambazo utakuwa umeziachapindi ukitemana na biashara   
 2. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #2
  Jun 7, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,128
  Trophy Points: 280
  Nimependa hiyo ya wagiriki ya kuchoma meli zao moto
   
 3. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #3
  Jun 7, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  mkubwa! Nashukuru sana
   
 4. p

  peter tumaini JF-Expert Member

  #4
  Jun 7, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 575
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ujasilia mali ni mzuri sana ndo maana unahitaji uchome meli ndo uingie kwani ukiingia hutatoka kamwe.
   
 5. Mgombezi

  Mgombezi JF-Expert Member

  #5
  Jun 7, 2012
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 630
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Nashukuru Mkuu kwa jinsi ambavyo umeziandaa theory hizi kwa lugha nyepesi; naomba kuwafikishia wengine elimu hii.
   
 6. wiseboy

  wiseboy JF-Expert Member

  #6
  Jun 7, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,711
  Likes Received: 1,893
  Trophy Points: 280
  kwa anaejua umuhimu wa thread yako lazima apende na kutoa comment, tho wabongo inshu kama hizi tunapotezeaga, i lyk it.
   
 7. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #7
  Jun 8, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,128
  Trophy Points: 280
  Mkuu ni kweli kabisa, ni lazima ukianza safari hakunakuangalia nyuma, ni Kama ile story ya kwenye Bible ambapo RUTI NA WENZAKEWAKATI WANAONDOKA KUTOKA MJI WA SODOMA NA GOMORA waliambiwa hakuna kuangalianyuma, bahati mbaya mke wa RUTHI alikumbuka Marafiki alio waacha, starehe zaSODOMA NA GOMORA then akajikuta natazama nyuma na hapo ndo akageuka kuwa NHUZOYA CHUMVI,

  Kwenye Kuanza Biashara hakuna kutazama nyuma make kikwazo kikubwa sana kinachowafanya watu kutazama nyuma kama Mke wa Ruth alivyo fanya kule GOMORA ni vitukama

  1. Starehe- st
  arehe hufanya mtu atazame nyuma, make kuingia kwenye biasharakuna maanisha kuna starehe utaziacha kwa muda mpaka pale maisha yako au kampuniyako itakapo fanya profit ya kutosha

  2. Marafiki- Hawa nao ni kikwazo kikubwa sana kinacho tufanya tunapo anzasafari tutazame nyuma, kuanza Biashara kuna maanisha kuachana na Baadhi yaKampani zako, utaviacha baadhi ya viwanja ulivyo zoea kwenda, na hautaambatanana Marafiki wako kamwe, sasa tukikumbuka haya inakuwa ngumu kwenda mbele bilakurudi nyuma

  3. Familia- Familia zetu nazo ni sababu ya kwa nin i tunatazama nyuma, Kuanzabiashara kuna maanisha, hutakuwa karibu na Familia yako tena, utakuwa unarudiusiku na hata siku zingine kama ni biashara za kusafiri utakuwa unakata wiki aumwezi bila kurudi nyumbani, tukikumbuka haya tunashindwa kutembea mbele bilakutazama tuliko toka

  4. Kazi/Mishahara/Marupurupu - Hizi ndo sababu namba moja zinazo tufanya tunapoanza safari tutazame nyuma, kabla ya kuanza hii safari huwa tunawaza Mishaharaya kila mwezi, Poshombalimbali, Magari ya kazini. Hapa tulizoea kufuatwanyumbani na magari ya kazini, kufanyia kazi kwenye AC kupata Breakfast kazini,

  HIVI VITU NDO KIKWAZO KIKUBWA SANA, KUANZA SAFARI MPYA KUNAMAANISHA HUTA PATAMISHAHARA YA MWISHO WA MWEZI

  So ni lazima tuwe kama Ruth alivyo ambiwa na MUNGU kwamba hakuna kutazama nyumamnapo ondoka SODOMA NA GOMORA, mungu alijua kabisa ule mji alikuwa na kila Ainaya Anasa na starehe ambazo RUTH hakuwa tiyali kuziacha that is wahy waliambiwahakuna kutazama nyuma

  HIVYO UKIANZA KUINGIA KWENYE UJASIRIMALI HUKU UKITAZAMANYUMA, HUTAFIKA MBALI, KINACHO TAKIWA NI KUSONGA MBELE HATA UKISIKIA SAUTI ZIKIKUITA WEWE NI KUZIPUZIA NA KUSONGA MBELE
   
 8. Ngalikihinja

  Ngalikihinja JF-Expert Member

  #8
  Jun 8, 2012
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 16,419
  Likes Received: 3,767
  Trophy Points: 280
  Asante mkuu, inanihusu
   
 9. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #9
  Jun 9, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,128
  Trophy Points: 280
  post kama hizi zinatakiwa kutubadilisha, ila Wa tz tulivyo wajuaji hapa ni kazi bure, kama post hizi haziwezi kutubadilisha basi wakati utatubadilisha
   
 10. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #10
  Jun 11, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,128
  Trophy Points: 280
  hii ungetakiwa uwapositie wakenya, ila kwa watanzania ni sawa na kupigia mbuzi gitaa
   
 11. S

  Stoudemire JF-Expert Member

  #11
  Jun 11, 2012
  Joined: Mar 24, 2012
  Messages: 840
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Hii nimeipenda

  Bosi wangu atanikoma siku naondoka lol
   
 12. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #12
  Jun 11, 2012
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,765
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  Haimaanishi kukomoana na boss mkuu inamaanisha kutokuangalia vijifedha ulivyokuwa ukipewa ulipokuwa hapo, usiseme ningekuwa pale ningepewa mshahara saizi.
   
 13. Ellie

  Ellie Senior Member

  #13
  Jun 12, 2012
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 123
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu hii imeni inspire sana, kiukweli mimi am on my way kuanza idea ambayo nilikuwa naifanyia feassibility study na kiukweli u made my day cause i am on the right track, watanzania tujue kitu kimoja WATCH AND LEARN, namaanisha through business utapata nafasi ya kuifanya pesa ikufanyie wewe kazi, tofauti na sasa unaifanyia kazi pesa!
   
 14. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #14
  Jun 12, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,470
  Likes Received: 5,852
  Trophy Points: 280
  Kabisa.....ili kuacha kazi uende kwenye biashara UNAMPIGA NGUMI BOSI WAKO ILI AKUFUKUZE KAZI
   
 15. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #15
  Jun 12, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,128
  Trophy Points: 280
  Hapo kwenye KUCHOMA MELI MOTO KAMA WALIVYO KUWA WAKIFANYA WAGIRIKI, haimanishi kugomaba na mabosi wako, au watu wengine, Make unaweza gombana na Mwajiri wako halafu katika biashara yako kuna mahali ukahitaji sapoti yao sijui itakuwaje hapo,

  KUCHOMA MELI MOTO

  - Hapa ni kuachana kabisa na vishawishi vyote vitakavyo kufanya Urudi Nyuma, WAGRIKI WALIKUWA WAKICHOMA MOTO MELI KWA SABABU ZILE MELI ZILIKUWA ZIKIWATIA UVIVU WA KUPIGANA NA WALIKUWA WAKIPIGANA HUKU WAKIJUA WAKISHINDWA TU WANAKAMATA MELI ZAO,

  - SO WALIVYO KUWA WAKICHOMA MELI MOTO TIYALI WALIKUWA HAWANA NJIA MBADALA YA KUISHI ZAIDI YA KUPIGANA HADI WASHINDE VITA,

  Hivyo basi katika KUCHOMA MELI MOTO, vile vikwazo na vishawishi vyote ni kuvichoma moto, Mfano

  1. Kuachana kabisa na Marafiki wasio kuwa na lengo zuri na wewe na wanao kusaidia kutumia tu,

  2. Kuachana na Starehe zisizo kuwa za msingi, Hapa unaweza Piga ban starehe kwa kipindi fulani

  3. Kukaa mbali na watu unao fikilia wanaweza kukushawishi uachane na biashara na uajiriwe

  4. Kuondoa machoni mwako vitu vyote ambavyo unafikilia vinaweza kukushawishi urudi nyuma

  5. Unaweza kubadili namba yako ya simu. WHY? KWA SABABU WAFANYAKAZI WAKO/WATU ULIKOKUWA UKIFANYA NAO KAZI WANAWEZA WAKAWA WANAKUPIGIA NAKUKUPA STORY MPYA ZA KAZINI KWAO IKIWEMO KUPANDISHWA MISHAHARA, KUONGEZEWA MARUPURUPU NA KAZALIKA, hhzi story zinaweza kukufanya uachane na mpango wa Biashara kufikila kazi za kuajiriwa,

  NA UKIACHA KAZI KWA MISINGI YA KUJIAJIRI BAADAE UKASHINDWA UKARAUDI TENA KWENYE KUAJIRIWA HUTAKAA UTOKE TENA HUKO NDO UTAFIA HUKO

  SO HAIMANISHI KUGOMBANA NA WATU NO ILA NIKUONDOA MACHONI MWAKO VISHAWISHI VYOTE VITAKAVYO FANYA URUDI NYUMA
   
 16. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #16
  Jun 12, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  thanks
   
 17. thereitis

  thereitis JF-Expert Member

  #17
  Jun 20, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 297
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Asante sana Komandoo
   
 18. Penguin-1

  Penguin-1 JF-Expert Member

  #18
  Sep 12, 2012
  Joined: Apr 30, 2012
  Messages: 400
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  nafurahi kwa kuwa naelewa
   
 19. m

  mzawahalisi JF-Expert Member

  #19
  Sep 13, 2012
  Joined: Jan 11, 2010
  Messages: 744
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 45
  asante kwa somo zuri la kijasiriamali.
   
 20. Catherine

  Catherine JF-Expert Member

  #20
  Sep 13, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 1,263
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  kwanini SATAN?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...