Shida ni sisi....bado vimbelembele wa kuagiza magari.....unafikiri watu wakiacha kuagiza magari kwa kuona kodi kubwa TRA wenyewe watarekebisha kodi yao!
KWA HIYO BORA UISAKE KUPATANA .COMShida ni sisi....bado vimbelembele wa kuagiza magari.....unafikiri watu wakiacha kuagiza magari kwa kuona kodi kubwa TRA wenyewe watarekebisha kodi yao!
Lkn sisi ndy kwanza tunaagiza
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Bora hivyoKWA HIYO BORA UISAKE KUPATANA .COM
Kuna gari niliagiza early December inafika mwezi huu, wakati naagiza calculator ya tra ilitoa gharama za ushuru 6.4m. Sasa nimepata BL kwenda TRA ushuru umebadilika umekuwa 10m! Yaani nimechoka kabisa! Watu wanapandisha kodi Kwa kucheza na calculator yao bila kujali!
hapo itakuwa invoice yako kubwa kuliko bei elekezi ya TRAKuna gari niliagiza early December inafika mwezi huu, wakati naagiza calculator ya tra ilitoa gharama za ushuru 6.4m. Sasa nimepata BL kwenda TRA ushuru umebadilika umekuwa 10m! Yaani nimechoka kabisa! Watu wanapandisha kodi Kwa kucheza na calculator yao bila kujali!
hapo itakuwa invoice yako kubwa kuliko bei elekezi ya TRA
Hivi inakuaje kodi iwe tofauti hivyo?Kuna gari niliagiza early December inafika mwezi huu, wakati naagiza calculator ya tra ilitoa gharama za ushuru 6.4m. Sasa nimepata BL kwenda TRA ushuru umebadilika umekuwa 10m! Yaani nimechoka kabisa! Watu wanapandisha kodi Kwa kucheza na calculator yao bila kujali!
Hapana. Invoice yangu ndogo. TRA wanatumia CIF yao kwenye Calculator. Wakati naagiza bei yao TRA ilikuwa ndogo, mwaka mpya ulipoanza wanapandisha CIF yao. Gari hata ununue $10 TRA wanatumia CIF yao kwenye Calculator.hapo itakuwa invoice yako kubwa kuliko bei elekezi ya TRA