Saguda47
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 10,765
- 18,618
Wakuu hamjambo, nmepita maeneo fulani hivi katika matembezi, nimeona mwamba huu wa rangi kama nyeusi hivi; ikabidi nilichukue kwa uchunguzi zaidi, test ya kwanza nimefanya kwenye sumaku na unavutwa na sumaku ninafikiri una Iron content.
Pia nimelipima uzito wake una robo kilo (1/4 kg) Yaani una uzito mkubwa ukilinganisha na miamba mingine yenye umbo sawa na huu ,
Kwa wajuzi zaidi naomba kufahamishwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Pia nimelipima uzito wake una robo kilo (1/4 kg) Yaani una uzito mkubwa ukilinganisha na miamba mingine yenye umbo sawa na huu ,
Kwa wajuzi zaidi naomba kufahamishwa.
Sent using Jamii Forums mobile app