Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Habari, Kwa yoyote mwenye kujua jina la mawe haya sambamba na soko/bei Asanteni Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kipindi nikiwa Tanzania rate ilikua Tsh 20 = 1 Ksh, lakini leo muamala wa Mpesa ya Voda kuja kwa Kenya, rate inatumika Tsh 23.48 = 1 Kshs Kwa dollar ndio imebamizwa chini maana naona rate...
10 Reactions
69 Replies
7K Views
Habari za sahiz wana jf... Naombeni kujuzwa namna ya kupata cm used za jumla kwa ajili ya kuuza kwenye kijibanda changu na hizi mpya pia zinakwenda na bei gan kwa dazen Sent using Jamii Forums...
0 Reactions
2 Replies
783 Views
Mhadhiri wa chuo cha Biashara CBE, Dkt Dickson Pastory amezitaka benki hapa nchini kuongeza ubunifu wa kuongeza mapato yake kwa kutazama vyanzo vingine ikiwemo kuwafikia wananchi waliopo vijijini...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari zenu ndugu na jamaa wa JF? Mimi nikijana mchakalikaji sana .baada ya kuona hali ya mzee baba inazidi kuwa ngumu biashara haziendi vizuri nikaona fursa saizi ziko kwenye kamari maana hata...
8 Reactions
47 Replies
9K Views
Wakuu kama heading inavyosoma hapo juu nimeona wale wazee ambao tunadeal na hii kitu tuwe tunapeana maarifa mapya hapa tuweze kudownload pesa kirahisi Kupeana ushauri kuhusu broker wazuri and so...
2 Reactions
37 Replies
7K Views
Akili za watu hasa watanzania wengi wametekwa na mapenzi yaani mwanaume kutwa nzima anawaza lini atampata jen na jen naye kutwa nzima anawaza kwa nini elisha kamwacha anashindwa ku move on...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Kuna ndugu yuko jobless kwa sasa ila anamiliki gari JX 110. Ameniuliza anachoweza kuifanyia kama biashara nimekosa jibu. Wadau, maalwatani wa Jiji tunaomba ushauri ushauri wenu.
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Wakuu salama. Kuna watu wamekuwa wakinishiwashi niingie kwenye vikoba kuwa ntapata mikopo yakukuzia biashara. Nilikuwa naomba watu waliofanikiwa kukuza mitaji kupitia vikoba wanieleze kwa undani...
4 Reactions
67 Replies
17K Views
**mod masahihisho heading isomeke mataruma Mungu mkubwa ule mradi tuliombiwa hatuuwezi leo wanatandanza mataruma ya reli ,yaani ni kama ndoto eti baada ya mwaka mmoja watu watakuwa wanaenda...
8 Reactions
85 Replies
10K Views
Kiukweli hawa kuku wa mayai sioni uzur wake japo wasifika sana kwa utagaji lakini faida ya pesa na anaefuga kuku chotara ipo sawa. Na hii kutokana na ghalama za chakula cha layers kuwa juu na...
0 Reactions
10 Replies
10K Views
Wakuu naitaji nipate card yenye uwezo wa kufanya online payments na iwe na uwezo wa ku recieve payments kutoka nnje ya nchi. Nina card ya crdb inafanya online payments but kupokea pesa mtu...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Nimetumiwa mzigo kutoka US ambao umeenda kushushiwa kenya badala ya tz. Nimetumiwa sms kuwa mzigo umeshafika kenya. Msaada wa taratibu za jinsi ya kuupata na gharama za kuusafirisha hadi hapa...
1 Reactions
2 Replies
10K Views
Tafadhali kwa wale tunaodaiwa na tala tuwalipe haraka iwezekanavyo lasivyo itatugarimu Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
16 Replies
4K Views
habari za majukumu! Mimi ni fundi ujenzi wa nyumba. Kwa sasa nataka niboreshe huduma yangu Kwa kufungua ofisi nzuri ambapo Itakuwa rahisi kukutana na wateja wangu. Kwakuwa kufungua kampuni ya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wakuu wa JF ! Anyone been to Mozambique ? Share your experience, hasa kwenye mambo za business kama umifunguwa duka or biashara namna ipi zina faa ! suggest and share !
0 Reactions
148 Replies
28K Views
Habari wadau nilikua naomba msaada wenu kwa yeyote anaetumia paypal ningependa anisaidie kuyafaham yafuatayo tukiachana na jinsi yakufungua account nilitaka kufaham je inawezekana kutumia paypal...
0 Reactions
33 Replies
4K Views
Unaweza kucheza na Tume ya uchaguzi, chezea matokeo na kila kitu...Hapa CHezea Economy Economy ni mambo ingine Ngoma inogile na Time will tell.... Hakuna propaganda kwenye uchumi
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Chochote utakacho kielewa kwenye hii picha naomba unielezee
0 Reactions
17 Replies
5K Views
Hii biashara siyo ya kuwekea masihara kabisa unaweza kufanikiwa kirahis xana japo kuna watu wanaweka mzaha na kuidharau Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
5 Replies
13K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…