Siri ya mafanikio

FROWIN

JF-Expert Member
Jul 25, 2012
213
84
*Rules for Success*
(1.) Know what you do.
(2.) Love what you do.
(3.) Have a passion.
(4.) Form strategies.
(5.) Learn from others. (6.) Be focused and consistent.

(7.) Get right information.
(8.) Build a smart team.
(9.) Make mistakes.
(10.) Have a good name Just make yours if you can!

Kwa uchunguzi mdogo nilioufanya niligundua wengi tunafanya kazi ambazo si za ndoto zetu bali ni wazazi/walezi wetu ambao walitusisitiza tuzisomee tulipokuwa shuleni/vyuoni. Lakini baada ya kupata ufahamu wa nini talanta zetu zilipo huanza kujilaumu, mbaya zaidi huwa tunashindwa kuchukua uamuzi wa kufuata moyo yetu ilipo. Mara nyingi huwa tuna ogopa lawama kwa ndugu, marafiki na wazazi/walezi

Yaani unaacha kazi ya Uhasibu na kuwa mkulima?
Unaacha kazi Benki na kuwa mfugaji?
Hizi moja ya kauli ambazo huwa tunaogopa kuambiwa na ndugu jamaa na marafiki pindi tutakapoamua kufuata ndoto zetu ama vipaji vyetu vilipo...

Binafsi nimevutiwa na kisa hiki, hili liwe fundisho kwa wengine. Usiogope kufanya maamuzi yenye kukuletea manufaa kwa kuogopa lawama, kama una pumzi usiogope kulaumiwa ili-mradi tu hufanyi maamuzi yenye kuumiza watu, lawama si mzigo na ni wafu tu ndiyo huwa hawapokei lawama!
Unaweza kung'ang'ana kufanya kazi ambayo wazazi/walezi ama marafiki wanapenda ufanye lakini isikuletee mafanikio kwasababu huifanyi kwa moyo wako wote kwa kuwa si chaguo lako.
Maumivu ya kufanya kazi usiyoipenda ni wewe ndiyo unayajua siyo Mama wala Baba wala rafiki yako.
*"Do what you love to do...."*

Kazi unayoifanya hakikisha *UNAIJUA, UNAIPENDA na UNA-SHAUKU* nayo. Kama hivyo vitu vitatu havipo hakika kazi hiyo wewe si mahala pake.
*Don't worry to be blamed for your decisions.*
*Do right things in right time!*
*Your success is on your hand.*
*Just do it!*

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom