Ufunguzi wa Kampuni inayojihusisha na installation za Umeme

Abatmwe

Senior Member
Dec 2, 2014
110
79
Wadau naomba msaada na ushauri kwenu

Nataka kufungua kampuni itakao fanya mambo yafuatayo
1- Wirering za majumbani, na kwenye maghorofa
2- Installation ya umeme kwenye mitambo

Nataka kujua taratibu za kufungua kampuni inakuwaje haswa ukijua Kampuni za umeme zina process tofauti kidogo (Najua kuna zaidi ya Brela))na zingine

Kama ikiwezekana nikipata mtu anaweza kunisaidia kufanikisha mchakato pia itakuwa vizuri
 
Back
Top Bottom