Tanzania tuna upungufu mkubwa sana wa maudhui ya Biashara katika majukwaa na vipindi vya redio na runinga

Mr.genius

JF-Expert Member
Feb 20, 2012
1,369
1,169
On my personal observation, naona tuna vyombo vichache sana vya habari vinavyoripoti habari za biashara na sijui ni kwanini!.

Tunaupungufu mkubwa sana wa business magazines, TV shows au hata TV channel zenye habari za biashara 24/7.

Na hata waandishi wa habari na waliobobea kwenye habari za biashara pia ni wachache sana Kidoogo naona clouds wanajitahidi kwa upande wa radio kua na habari za biashara kila saa moja cjui saa mbili ile kwenye kipindi chao Power breakfast.

Na lile gazeti la IPP linalokuaga na business content but si kwa uwingi ambao naona unahitajika sijajua tatizo nini au wasomaji wa content za business hawapo? (i don't think so)

Yawezekana ikawa ni opportunity kwa wajasiriamali wengine kuichukua hii fursa ku publish na kutengeneza business content for our beloved bongo land kama ni wewe take this opportunity!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom