Natumai wote mko sawa humu ndani.
Naombeni msaada mtu yeyote au mfanyabiashara yeyote aliyepo Dar anipe maelekezo vizuri kuhusu mchele.
1. Bei zipoje sasa mashineni
2. Je ni kweli muda si mrefu...
Habari Wana JF!
Mambo vipi ndugu zangu wa Jamiiforums? Leo nimeamua kuwaletea somo la biashara ambalo naamini wengi wetu tumewahi kulia machozi kwa kulipia bidhaa au huduma kwa bei isiyo halali...
Wanabodi ,
Kwa muda mrefu tumekuuwa tukisikia serikali imepata mikopo toka kwa wafadhili mbali mbali , kitu ninachojiuliza deni letu haswa ni kiasi gani kwa sasa ? na jee hili deni lina impact...
Kuna hatua katika mzunguko wa biashara ambapo hali ya mauzo hushuka kwa kiasi kikubwa, huenda kutokana na ushindani mkali sokoni, mabadiliko ya mahitaji ya wateja au hata kushuka kwa nguvu ya soko...
Je, umewahi kujiuliza kwa nini baadhi ya biashara zinaaminika haraka na kupata wateja wakubwa, mikopo, au hata zabuni za serikali wakati zingine zinabaki mitaani zikihangaika? Siri kubwa ipo...
Heshima kwenu wakuu.
Naomba kujua kampuni zinazosafirisha mizigo (Loose Cargo) kutoka Japan kuja Tanzania.
Heshima kwenu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Habarini!, kuna ndugu yangu alichukua simu airtel kwa mkopo...simu yake ilipata hitilafu kidogo na akawarudishia ili waitengeneze...wakamuahidi baada ya wiki 3 watamrudishia...akalipa gharama ya...
Katika dunia ya leo hakuna kitu unachokiona na kikawa hakina thamani,kwa wale waishio miji mikubwa wameona jinsi watu wanavyo okota makopo ya ma maji, vyuma, mawe, na hata zile nywele sinazotupwa...
Salamaleko,
Shalom. Kama tunavojua kipindi hiki kwa maeneo ya vijijini ni kipindi cha kuvuna mazao na kuna niliko mimi kwa sasa debe la mahindi lina 7000 na debe la mpunga lina 5000. Maana yake...
walengwa wakiwa ni waajiriwa zaidi.
Uzeeni ni bora uwe na mzigo wa kutosha unaukata taratibu (Unaweza kuwa na vibiashara vidogo ili usikae sana ndani)
Au
ufungue biashara uwe unasubiria faida
Habarini wana jukwaa,najua ni usiku wengine tupo tunakunywa mbili tatu na huku kukiwa na hali ya hewa murua sana nyanda za juu kusini kama mjuavyo.
Siyo kila anayekesha bar anasherekea m, wengine...
Habari wanadau,
Naandika kwa tumaini kubwa kuwa wote tunaendelea vizuri. Ni mchana na kuna kajoto hapa Morogoro. Nashukuru Mola kwa nafasi nyingine ya kupigana. Tuendelee kupambana, kwani iko...
japo sio watu wengi wana uelewa sana wa crypto ila huyu mzee amefanya kilicho kibaya sana wiki hii, binafsi kama 40% ya mtaji mzima umeenda, ni sahihi kabisa kumrushia mashtaka huyu mwamba
Kutokana Hali ya kiuchumi Ninayo Iona naishauri BOT kutengeneza noti za TSH elfu 50 laki 1 na elfu 30
Noti ya elfu 10 imeshuka thamani huenda ikapotea kama TSH 50 na na zingine zingine
Maana...
Leo nilikuwa naangalia mfumo wa leseni (Tausi Portal) nikaona section ya Land Sale, wame list Halmashauri zenye miradi ya kuuza Viwanja kwa matumizi mbalimbali mfano Biashara, Makazi pia Biashara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.