Habari za wakati huu;
ni muda mrefu tangu niliposhiriki mijadala hapa jukwaani.Hii ni kutokana na sababu mbalimbali ikiwamo sababu za mbalimbali ikiwemo za binafsi na za ujumla.Hata hivyo leo...
Naombeni msaada wa cargo ya kusafirisha mzigo NAIROBI -Dar
Hawa nilionao uswahili wao umenishinda
Yaani siwezi Itss too much
Mambo ya hovyo nayashuhudia
kama kichwa kinavyojieleza je ni wapi naweza kupata sheets za acrylic zitumikazo kwa utengenezaji wa 3D texts na bei zake zipoje?
Hasa kwa Dar na Mwanza wapi naweza kuzipata
Habar wakuu naomba muongozo abc za biashara ya kituo Cha mafuta mchakato wake ukoje faida kwa siku na vibali na eneo l,na Hali ya ushindand ,,NB deepbond njoo uku tunakuhitaji ushauri
Mteja aliyenipeleka kwa wakili kwa ajili ya Radio
Nilipomaliza chuo, nilikuwa natafuta mteja redio, nikapata mteja mmoja wa ajabu sana. Nilikuwa nauza redio kwa shilingi elfu 30 tu, lakini jamaa...
Kwema wakuu
Unajua watanzania wengi tunakosa maen3o ya kuinjoi, na bqadh ya michezo mingi inayoweza kutufurahisha ni ile ambqxo wengi wetu wqtazamani sio washiriki. Kumekuwa na haja ya watu...
Je, naweza kuanza biashara ya spea za pikipiki na bajaji kwa kufunga mzigo kutoka China moja kwa moja?
Jibu ni ndio. Unaweza kuanza biashara hii kwa kwenda China kufunga mzigo Kisha kuja kuuza...
BONGO NYOSO: Nimegundua kuwa Bongo kutoboa inafaa uwe mafia sana na umafia wenyewe ni ule wa kuvunja mifumo sababu kila mahala ni husda.
Ajabu sana unaweza kwenda mahali wanauza nguo uuze maji...
Nimeona huko TCRA wanaomba maoni ya wanachi kwenye kupitisha kibali cha Starlink kufanya kazi Tanzania
Ipi sababu ya kufanya hivi na Je, hii haiwezi ikawa njia ya kuja kuikataa Starlink na...
Kama unataka kuvutia wateja wapya na kuongeza engagement ya biashara yako, basi wewe ni mtu niliyemtafuta.
Mimi ni mtaalamu wa online marketing, nikiendesha campaigns zenye data-driven...
HABARI NJEMA KWA WAKULIMA
Hakuna tena kuumiza kichwa kuhusu kutibu magonjwa nyemelezi kwenye mazao yako kama vile manjano, fangasi, na kudhoofika kwa mazao.
Tumia mkojo wa sungura pia kuongeza...
Hello money hunters!
Leo nimeona niungane na Tony robbins aliyesema",90%ya mafanikio ya mtu ni psychology and only 10% ni mechanics"
kwenye harakati za utaftaji psycholojia yako ina matter...
Soko la hisa huendeshwa na mwenendo wa kampuni husika.
Iweje hisa za CRDB zisiyumbe baada ya CRDB kukosekana hewani na kuleta shida kwa watumiaji wa huduma zake?
Iweje Vodacom imepata faida ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.