Mtanganyika,
Maneno yako kweli tupu lakini jamani tuwe fair kidogo hapa.. Sio sisi tunaompa sifa Mkapa kuwa aliweza kupunguza Inflation na uchumi bora nchini?..wengi wanazikubali data zake lakini pia wamekana kutumia vigezo kama vyako!.
Leo hii inflation kwa JK inaweza onekana vizuri kwa sababu Tsh imekuwa strong kwa dollar kwa miaka miwili imesimama pale alipoiacha Mkapa. Impact yake ktk fedha zetu za madafu inaonekana vizuri zaidi tofauti na Mkapa ambaye alichukua nchi dollar ikiwa Tsh 500 na katuacha kwenye 1100.
Wengi hawalitazami hilo lakini ukweli ni kwamba bei za bidhaa na vyakula vilipanda kichizi baada ya Mwinyi na fedha haipatikani kirahisi.