Tate ran an online course called Hustlers University, and charged $49 per month for it. He then turned every paying customer into an affiliate, and gave them 50% commission in exchange for...
Kuna mdau ameniomba nimuulize humu. Anataka kufanya biashara ya mapochi (purse or handbag)
So anataka kujua kama wapo wanaofanya je:-
1) Soko likoje?
2) Aina Gani ya ma bag yanapendwa sana na...
Juzi niliwauliza wanaJF. una mshauri nini kijana ambae yupo mtaani tu hana ajira mawazo yalikuwa ni mengi na ni mazuri pia.
Ila na mimi leo nimeamua kuja na uzi ambao utakuwa na biashara kadhaa...
Kwa wale ndugu zetu wa trading, hasa wa DSE na MT4/5, ulishawahi kujiuliza bei ya hizo securities zinapatikana vipi?
>Bitcoin ni nini? Kuna majibu 2
Bitcoin ni aina mpya ya pesa inayotumia...
Habari zenu wana Jf naombeni muongozo kwa anaefahamu
Nataka kufanya Biashara ya kuuza mapochi ya kike. Lakini changamoto kwenye kukata leseni sijui inasimamiwa katika kipengele kipi he ni urembo...
Wafanya biashara wengi hawajui compliances wanatakiwa kuzifuata kila mwaka ili biashara zao zisipigwe fine.
Nimekuandalia e-book inaitwa "Compliances unazotakiwa kuzifanya kama mfanyabiashara TZ...
Wakuu habari, nataka nianze kufanya uzalishaji wa bidhaa fulani (), ni wazo nimekuwa nalo kwa takribani mwaka sasa, kwasababu nilikuwa natafuta taarifa sahihi.
Nataka nianze kwa sasa, ila kuna...
Naomba kujua wastani wa bei ya usafiri Kwa njia ya Meli toka China kuja Tanzania Kwa CBM.
Nimepanga kuagiza bidhaa Fulani Fulani Kwa ajili ya kuuza huku KWa jumla, supply akanipa CBM ya mzigo...
Wakuu salaam,
Nimeona kuna mada ya mambo ya kusevu nikaona nishee story yangu inaweza kuwa msaada kwa mtu fulani sehemu fulani..
1. Take home ilikuwa ni 1,300,000 baada ya makato yote kazini...
Habari wanajamii Forum.
Nimatumain yangu mpo poa na miangaiko ya kila siku. Baada ya salamu niende direct to the point. ( Tafadhali nivumilieni uzi ni mrefu kiasi)
Kama title ya uzi wangu...
Wakuu,
Binafsi naonaga hii biashara ni kuzungusha hela tu. Yani watu wanafanya mazoea tu lakini hakuna faida
Yaani naonaga watu wanafanyaga tu ili kupotezea muda na kuwa na chenji chenji muda...
Kwa mujibu wa sheria, ili mfanyabiashara asajiliwe kama VAT unatakiwa either ufike makusanyo ua 200m kwa mwaka, au uwe mtoa ushauri wa kitaalamu au uwe na mikataba inayoonesha kazi uliyopata...
Wakuu naandika kwa masikitiko makubwa sana kwa kinachoendelea kwenye biashara nchini Tanzania. Huu uzi ni maalum wa kujisema na kujitaka kujisahihisha. Wengi wa wafanyabiashara kuanzia wadogo, wa...
Ulitumia mbinu gani ?
ilikuchukua muda gani ?
Brand imekupa faida gani ?
Ni kitu gani Unique kwenye brand yako ?
Unajitofautishaje na washindani wako sokoni?
Ni njia gani unatumia kuitangaza brand...
Wakuu,mm ni mfanyabiashara mdogo na biashara zangu Huwa mara nyingi natoa Dar napeleka Kijiji Cha Komkonga wilaya ya Handeni Mkoa wa Tanga. Sasa nataka kupanua soko nihamie mikoa mingine kwakua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.