Tunauza Generator Spare parts kwa upande wa Engine, Ac alternator(Kinu) and Automation( Automatic Mode).
Kuna plc za Deepsea zpo mpya na Used(Refurb).
Model 7320 MKI, 7320MKII, 7420MKII...
Amekuja mgeni amebuni biashara nzuri na kuita SAMAKI SAMAKI.
Watanzania kwa kukosa ubunifu wakaenda kuiga mara DagaaDagaa na wengine KukuKuku!!
Tatizo wengi walioiga hawajui biashara siyo jina...
Hii kampuni Haina hata miaka SITA sokoni lakini imefanikiwa kuwapoteza wakongwe kama kina sport na embassy na kina safari chap kwa haraka..sawa inawezekana bei ikawa rafiki kwa wengi lakini hata...
Habari wanaJF,
Nauliza swali kwa niaba. Kuna dogo nnaye hapa anadai ana Rupia zile za zamani. Hivi soko lake lipo hapa nchini? Kama jibu ni ndio, aende wapi?
Asanteni.
Una biashara unayoipenda, una uzoefu nayo, unaifanya kwa moyo wote, lakini haina mbele wala nyuma.
Upande mwengine una biashara ambayo huna interest nayo, huipendi lakini inakulipa.
Biahara zote...
Kati Ya Ujuzi Muhimu Zaidi Unaotakiwa Kuwa Nao Ili Utengeneze Pesa Mtandaoni Ni Huu Ujuzi Wa Aina 3 Hapa Chini...
"Digital Marketing Skills,Copy Writing Skills & Closing Skills"
...Huu Ujuzi...
Benki kuu ya Tanzania (BoT) imetangaza riba mpya kwa robo ya nne ya mwaka 2025 kupitia kamati ya sera ya fedha imesema kiwango cha Riba ya Benki Kuu (CBR) inasalia asilimia 5.75 katika robo ya nne...
Ni kweli mnaweza kuandamana hiyo 29.10.2025 ila ni hatari sana iwapo hauna bima ya afya kwani utahitaji matibabu baada ya kipigo na utaenda kutibiwa kwa gharama sana.
Je,tuandamane kugomea...
Ni kweli mnaweza kuandamana hiyo 29.10.2025 ila ni hatari sana iwapo hauna bima ya afya kwani utahitaji matibabu baada ya kipigo na utaenda kutibiwa kwa gharama sana.
Tujitafakari!
Habarini wadau: Kama ulifatilia thread yangu ya April , Niliomba ushaur wa kuchkua mkopo wa Milion 30 kwajili ya Biashara ya mahindi na mkanipa ushaur mzur na nikatekeleza na wapo walionirudisha...
Unatafuta wazo la biashara la uhakika lenye faida kubwa? Karibu nikupe mchanganuo wa biashara isiyopitwa na wakati na inayokua kwa kasi, inayokupa fursa ya kutajirika.
Wazo lenyewe ni kufungua...
Usajili wa jina la biashara unaweza kwenda haraka ikiwa unazo taarifa muhimu zinazohitajika Wakati wa kusajili.
Taarifa hizo ni hizi hapa;
1. Jina la Biashara
Lazima uwe Tayari na jina la...
Kutokana na watu wengi kuniandikia kuniuliza kama ni salama kuwekeza pesa JATU company PLC. Nimeamua kufanya utafiti na maswali kwenye utafiti wangu yalikuwa kama ifuatavyo;-
1. Nani anaongoza...
Katika ulimwengu wa sasa, mahitaji ya nishati na mafuta yanaongezeka kila siku kutokana na ongezeko la idadi ya watu, ukuaji wa uchumi, na ongezeko la shughuli za usafirishaji mijini na vijijini...
Jana nimefikisha Threads 100 humu JF.
Zote zikiwa ni educational contents nikielezea namna unaweza kusajili biashara, Kampuni, kupata Leseni au kusajili trademark.
Na wewe msomaji wangu umekua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.