G
guest-1788672427
Guest
Biashara gani inaweza kukupa faida 1M kwa mwezi
Kwa mtaji wa 10MIL
Kwa mtaji wa 10MIL
Kwanini10m faida 1m kwa mwezi? Ngumu kumeza hii
Kwa mtaji huo na hiyo faida sioni aina hiyo ya biashara.Kwanini
Anataka kuanza nakupata faida ya mil 1 , hapo hakuna mfanya biashara mkuuKwa mtaji huo na hiyo faida sioni aina hiyo ya biashara.
Vipi akiuza Sembe faida hiyo haipati mkuu 🤣Anataka kuanza nakupata faida ya mil 1 , hapo hakuna mfanya biashara mkuu
Sembe ndio nini masterVipi akiuza Sembe faida hiyo haipati mkuu 🤣
Au hakuna Sembe ya millioni 10
Serious mkuu unauliza Sembe ni nini au!Sembe ndio nini master
Hapo kwenye ngada nimekupata , kumbe ndio inaitwa sembe!Serious mkuu unauliza Sembe ni nini au!
Ngada
Na uvumilivu , mpaka kufikia hatua ya kuchanganyikiwaKuna mtoto wa kishua anashangaa eti 10ml kupata faida ya 1mil kwa mwezi
Kuna watu wanamitaji ya mil 5 na kwa mwezi anapata mpaka 1.5mil faida
Kuhusu kupata faida kubwa inahitajika ubunifu na juhudi katika biashara
Labda kausha damu pekeeKwa mtaji huo na hiyo faida sioni aina hiyo ya biashara.
Tupe hiyo biashara mkuu ambayo 10m inakupa 1m kama faida.Kuna mtoto wa kishua anashangaa eti 10ml kupata faida ya 1mil kwa mwezi
Kuna watu wanamitaji ya mil 5 na kwa mwezi anapata mpaka 1.5mil faida
Kuhusu kupata faida kubwa inahitajika ubunifu na juhudi katika biashara
SawaAnataka kuanza nakupata faida ya mil 1 , hapo hakuna mfanya biashara mkuu